MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: BoT: Tumia Taasisi za Fedha Halali kwa Usalama wa Kifedha
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > BoT: Tumia Taasisi za Fedha Halali kwa Usalama wa Kifedha
Habari

BoT: Tumia Taasisi za Fedha Halali kwa Usalama wa Kifedha

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imewahimiza wananchi kuhakikisha wanatumia huduma za taasisi za fedha zilizosajiliwa rasmi ili kujilinda dhidi ya hatari za kifedha na kuchangia maendeleo ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Ofisa Mkuu Mwandamizi wa BoT kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Mwile Kauzeni, alieleza hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayoendelea kitaifa mkoani Tanga.
Kauzeni alisema wananchi wanaotaka kukopa kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za kiuchumi wanapaswa kujiridhisha kwanza na uhalali wa taasisi za fedha kwa kutembelea tovuti rasmi ya BoT ambayo ina orodha ya benki, taasisi za fedha na maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyoidhinishwa.
Alisisitiza umuhimu wa mkopaji kuelewa aina ya mkopo, masharti yake, wajibu wa marejesho na haki zake kabla ya kuingia mkataba wowote.
Aidha, aliwahimiza wananchi, hususan wanawake, kuepuka mikopo kutoka taasisi zisizosajiliwa, akieleza kuwa BoT ina jukumu la kusimamia na kutoa leseni kwa taasisi zote za fedha ili kuhakikisha zinazingatia sheria na kanuni.
Habari Picha 10834
Kwa upande wake, Ofisa Sheria Mwandamizi wa BoT, Ramadhani Miyonga, alisema BoT imeweka mabanda maalumu katika maonyesho hayo kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu uwasilishaji wa malalamiko.
Alisisitiza kuwa BoT haiwezi kushughulikia migogoro inayohusisha taasisi zisizo halali.

You Might Also Like

Katambi Ahimiza Udhibiti wa Bidhaa Duni, Jamii Yatakiwa Kutumia Huduma za TBS

Vipaumbele Vilivyopo Kwenye Mpango Wa Maendeleo Vitafsiriwe – Majaliwa

CHAUMMA kuanzisha mjadala wa elimu ndani ya siku 100

Rais Samia Kuzindua Mfuko wa Mikopo Wenye Kianzio Cha Sh. Bilioni 2.3

Waziri Mkuu Majaliwa Kuongoza Harambee Ya Mei Mosi Kitaifa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Uwekezaji wa TIB Wachangia Kuongezeka kwa Ajira
Next Article SANGU: e-Utatuzi Italeta Mapinduzi katika utoaji Haki
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbunge Asisitiza Sheria za Majiko Safi Ili Kulinda Mazingira
Habari February 3, 2026
Mwalunenge: Bila Rasilimali Watu Na Mtaji, Mipango Ya Kilimo Haitafanikiwa
Habari February 3, 2026
Gulamali Ahoji Bungeni Changamoto ya Mawasiliano Ilongelo
Makala February 3, 2026
Serikali Yaendelea Kuimarisha Uhuru wa Mahakama – Nchimbi
Habari February 2, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?