MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

MDHIBITI  na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),  Charles Kichere, ametembelea Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) na kufanya kikao na Menejimenti ya Wakala huyo katika ukumbi wa ofisi za TARURA zilizopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Katika kikao hicho, CAG ameipongeza TARURA kwa kazi kubwa wanayoifanya ya ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini tangu kuanzishwa kwake.

Amesema kuwa licha ya TARURA kuwa ni taasisi changa, mafanikio yake yanaonekana wazi kupitia ujenzi wa barabara na madaraja mengi yanayowarahisishia wananchi kupata huduma za kijamii na kiuchumi.

“TARURA haina miaka mingi tangu kuanzishwa kwake, lakini matokeo ya kazi zake yanaonekana. Barabara na madaraja mengi yamejengwa na wananchi wanaendelea kunufaika,” amesema CAG.

Aidha, amesema TARURA ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla, hivyo aliwataka waendelee kujenga miundombinu ya barabara kuendana na mahitaji ya sasa ambayo yatamfanya mwananchi kufanya mazoezi ili kukabiliana na Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza (NCD).

 

You Might Also Like

Rais Samia aweka Jiwe la Msingi kwenye mradi wa Suluhu Sports Academy

Mikataba ya Bilioni 50.9 Yasainiwa kuwezesha nishati safi ya kupikia

Vitongoji 1997  Vimepatiwa Huduma Ya Umeme, Kilimanjaro  

Mkongo Wa Mawasiliano Unalenga Kuleta Tija Kwa Wananchi

CWT Yashauri Walimu Wasiwe Wasimamizi Wa Miradi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Next Article Rais Samia: Majaji na Mahakimu Simamieni Haki
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Kutoka Wazo Rahisi Hadi Mapinduzi ya Kilimo: Safari ya Rafiki Planter Inayosimulia Miaka 40 ya COSTECH
Makala July 28, 2026
Ndejembi Ashuhudia Utiaji Saini Wa Mkataba Wa Sh Bilioni 204.7 Wa Mradi Wa Umeme Wa Jua Wa Megawati 100 Kishapu
Habari July 27, 2026
Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?