
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar Januari 08, 2026.

PIC 1 RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar Januari 08, 2026.

PIC 3 RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Jengo la Taaluma na Utawala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar Januari 08, 2026.

Pic 4 RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Jengo la Taaluma na Utawala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari mara baada ya uzinduzi uliofanyika Buyu, Zanzibar Januari 08, 2026.

RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuzindua Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar Januari 08, 2026.

