MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

NAIROBI KENYA: Shirika la kimataifa la Article 19 Afrika Mashariki limeahidi kushirikiana na Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kuwajengea uwezo wanahabari katika masuala ya sheria za habari, haki za wanahabari na kupinga ukatili dhidi ya waandishi wanawake.

Makubaliano hayo yalifikiwa jijini Nairobi baada ya mkutano wa taasisi za habari kutoka nchi za Afrika Mashariki uliolenga kujadili uhuru wa vyombo vya habari na ushirikiano wa kikanda.

Habari Picha 10064

Naibu Mkurugenzi wa Article 19, Patrick Mutahi, amesema taasisi hiyo inatambua changamoto zinazokabili sekta ya habari na itashirikiana na JOWUTA kutekeleza miradi ya kusaidia wanahabari kupitia ufadhili wa wadau kama Jumuiya ya Madola.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa JOWUTA, Mussa Juma, amesema chama hicho chenye wanachama zaidi ya 400 kinahitaji ushirikiano huo ili kuboresha mazingira ya kazi, kukuza uwezo wa kiuchumi wa wanahabari na kuimarisha majadiliano na waajiri.

Naye Mkurugenzi wa Programu wa Chama cha Waandishi wa Kujitegemea Kenya (KCA), William Oloo-Janak, amesema changamoto za sekta ya habari Afrika Mashariki zinafanana, hivyo ushirikiano wa kikanda kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ni muhimu.

Habari Picha 10065

Vyama vya wanahabari kutoka Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda vilikubaliana kushirikiana, kubadilishana uzoefu na kutetea sera na sheria bora za habari pamoja na kupinga ukatili dhidi ya wanahabari wanawake.

Habari Picha 10066

 

You Might Also Like

Matumizi Mabaya Ya Dawa Husababisha Usugu Wa Vimelea Kwa Wanyama – Dkt. Kitimu

Miradi ya maedeleo na Huduma za afya isimamiwe kwa ukaribu

MAIPAC Yagawa Makoti Ya Usalama Kwa Wanahabari Kuelekea Uchaguzi Mkuu.

PIC Uwekezaji Bidhaa Za Ngozi Utaongeza Mapato

Mtindi wa Korosho, Stafeli Wafanyiwa Utafiti UDSM

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Next Article Mwalim: Nikichaguliwa urais, Kigaila atakuwa Waziri Mkuu wangu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mita  Janja Zazinduliwa,  Tanesco  Yatakiwa Kuzisambaza Nchi Nzima
Habari December 5, 2025
DIT Andaeni Taarifa  Itakayowezesha Wanafunzi Kupelekwa Nje Kujifunza-Mkenda
Habari December 5, 2025
Msama Aipongeza Hotuba Ya Samia, Atoa Neno Kwa Vijana, Wazee, Wanaharakati
Habari December 4, 2025
Profesa Silayo Aaga, Jawara Kuchukua Uongozi Mpya wa AFWC25
Habari December 3, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?