MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wanaosimamia Mitandao Ya Serikali Wadhibiti Usalama Wake
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wanaosimamia Mitandao Ya Serikali Wadhibiti Usalama Wake
Habari

Wanaosimamia Mitandao Ya Serikali Wadhibiti Usalama Wake

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA; KATIBU Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amewataka watumishi wanaosimamia akaunti za mitandao ya kijamii ya Serikali kuongeza umakini.
Pia  kushirikisha  wataalam wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  (TEHAMA) ili kupata elimu ya namna ya kuweka njia za kiusalama katika mitandao hiyo.
Msigwa ambaye pia ni  Msemaji Mkuu wa Serikali, amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya usalama wa mtandao  yalioandaliwa na kitengo cha TEHAMA cha Wizara yake kwa watumishi wa Wizara hiyo.
Amesema zaidi ya asilimia 90 ya athari za matumizi mabaya ya mtandao zinatokana na uelewa mdogo wa juu ya utumiaji wa mitandao ambapo wengi hawajaweka tahadhari za kiusalama ikiwemo kutobadili taarifa za siri mara kwa mara.
Amesema Serikali imechukua hatua mbalimbali za kuhakikisha usalama wa kimtandao Tanzania ikiwemo uwepo wa sheria ambazo zimetungwa ili kudhibiti matumizi holela ya kimtandao.
Ametaja sheria hizo kuwa ni Sheria ya makosa ya kimtandao ya mwaka 2015 na sheria ya Mamlaka ya Serikali Mtandao ya mwaka 2019 na kuandaa Sera na miongozo mbalimbali ya kusaidia kuhakikisha usalama wa taarifa za Serikali.
Katika hatua nyingine, Msigwa amezitaka taasisi na mashirika ya Serikali kufanya mafunzo hayo ya usalama wa kimtandao mara kwa mara kwa watumishi ili kulinda mifumo na taarifa za Serikali.
Naye, Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA cha Wizara hiyo, Kulwa Magingila amewataka watumishi hao kuweka nguvu za pamoja kuhakikisha mitandao ya Serikali inalindwa na kuhakikisha wanatoa taarifa za wanaofanya uhalifu huo kwani ni ajenda ya dunia na uhalifu hauna mipaka.

You Might Also Like

Ridhiwani, Ulega Washiriki Maulid Ya Kumswalia Mtume Muhammad

Tanzania Kushirikiana na Finland Uboreshaji Mbegu za Miti

Usafirishaji Shehena Waingiza Dola Bilioni 3.54

Wiki ya kudhibiti bidhaa bandia kuhitimishwa DSM

LHRC Kushirikiana  Na JOWUTA Kuwajengea Uwezo Wanahabari Katika Masuala Ya Haki Zao Na Sheria Za Kazi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kilimo Yaomba Trilioni 1.24 Mwaka Wa Fedha 2025/26
Next Article TPHPA Kuipokea Ndege Yake
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waendelezaji Majengo 103 Kesi Ziko Mahakamani, -AQRNa
Habari July 6, 2025
TSB Yatangaza Fursa Za Kilimo, Uwekezaji Wa Mkonge
Habari July 6, 2025
Elimu Ya Dawa Za Kulevya Kutolewa Kwa Wanafunzi
Habari July 6, 2025
Posta Yaleta   Usafiri Wa Kitalii Ndani Ya Sabasaba
Habari July 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?