MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wananchi Wachagua Viongozi Serikali Za Mitaa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Uncategorized > Wananchi Wachagua Viongozi Serikali Za Mitaa
Uncategorized

Wananchi Wachagua Viongozi Serikali Za Mitaa

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WATANZANIA katika maeneo mbalimbali ya nchi wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi wao ngazi ya Serikali za Mitaa.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametimiza haki yake ya Kikatiba katika Kata ya Bulangwa, Wilayani Bukombe, Geita kisha akawashukuru wananchi kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura.
Dkt. Biteko amesema hayo leo Novemba 27, 2024 mara baada ya kupiga kura katika kituo cha kupiga kura cha Shule ya Msingi Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita.
“ Zoezi la kupiga kura linaendelea vizuri na wananchi wamejitokeza kwa wingi nawapongeza kwa hilo. Uchaguzi wa mwaka huu umekuwa tofauti kwa sababu ya hamasa kubwa ya kushiriki,” amesema Dkt. Biteko.
Amesisitiza “ Ninaomba watu wote waliojiandikisha watumie haki yao ya kikatiba kwa kujitokeza kwa wingi na kwenda kupiga kura,”
Kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa zilizinduliwa Novemba 20, 2024 na kuhitimishwa Novemba 26, 2024 baada ya wagonbea kujinadi na kuomba kura kwa  wananchi,

You Might Also Like

Rais Mwinyi aipongeza Airpay kudhamini tamasha la fahari ya Zanzibar, kusaidia wananchi kupata mikopo kidigitali

Tanzania yang’ara miradi ya Kinywe

Jaffo :Wafanyabiashara Tanzania, Iran watakiwa kushirikiana kwa pamoja katika Biashara, Uwekezaji

PURA, M&P zajadili mradi wa uchorongaji visima vya gesi Mnazi Bay

Waziri Jenista akabidhiwa ofisi rasmi na Ummy Mwalimu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwani, Mlao na wanachama wa CCM Kata ya Bwilingu wakinadi chama chao dakika za lala salama
Next Article Serikali Yawapeleka Wauguzi 101 Nchini Saudi Arabia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TARI Kibaha Yaboresha Pia Mbegu za Mazao ya Mizizi
Habari August 7, 2025
TAMWA Yawawezesha Wanawake Kupitia Mradi wa Nyuki
Habari August 7, 2025
Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?