DODOMA: WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Anlex iliyopo Mtoni Kijichi Jijini Dar es Salaam, pamoja na walimu wao. wakifuatilia kikao cha Bunge katika ziara yao ya kimasomo waliyoifanya Bungeni Mei 26 mwaka huu( Picha na Mpiga picha Wetu).


Mfanyakazi Tanzania ni jukwaa la taarifa linalowakusanyia wafanyakazi habari za ajira, sheria za kazi, haki na wajibu wa mfanyakazi, matangazo rasmi, nyaraka za umma pamoja na fursa za elimu na mafunzo.
Maoni 0
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!