MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wanafunzi Kutoka Veta Kushiriki Mafunzo Japan
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wanafunzi Kutoka Veta Kushiriki Mafunzo Japan
Habari

Wanafunzi Kutoka Veta Kushiriki Mafunzo Japan

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

WANAFUNZI  sita na Walimu wawili kutoka Chuo Cha Ufundi VETA-Dar es salaam wanatarajiwa kuelekea Jiji la Nagai katika Jimbo la Yamagata, Japani  kushiriki katika mpango wa mafunzo kwa vitendo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) kundi hilo litashiriki mafunzo ya vitendo wa wiki mbili katika Shule ya Ufundi ya Nagai kuanzia  Juni 16 hadi 27  2025 ikiwa ni Mpango wa Kubadilishana katika Elimu ya Ufundi nchini Japani.

Taarifa imeeleza kuwa Mradi huo ni sehemu ya mpango wa majaribio unaolenga kukuza ujuzi na taluma kati ya Tanzania na Japani.

Imeeleza Japani inakabiliana na upungufu mkubwa wa wafanyakazi, naTanzania ikiwa na idadi inayokua ya vijana wenye motisha, mpango huo unalenga kuleta jitihada zenye manufaa kwa pande zote kwa kujenga uwezo wa rasilimaliwatu.

Taarifa imeongeza kuwa mradi  unatarajiwa kuchangia katika kutatua matatizo yao husika kama ajira ya vijana nchini Tanzania, pamoja na kuongeza rasilimali watu katika viwanda vya ndani vya Japani kutoka Tanzania.

Imeeleza mpango huo wa kubadilishana pia unafanya kazi kama mpango mkuu wa JICA Afrika Hometown, ambao umejipanga kimkakati na TICAD 9.

Taarifa ilifafanua kuwa mpango huu unatoa mfano wa jinsi ushirikiano wa serikali za mitaa kati ya Japani na mataifa ya Kiafrika unavyoweza kuleta ustawi wa pamoja na uamsho wa kikanda.

Imeeleza kuwa mafunzo ya Kitaalamu kwa Vitendo katika kozi za Mechaniki na Elektroniki.

Kadhalika kupitia program hiyoitawezesha upatikanaji wa vifaa vya kisasa ambavyo havipatikani nchini Tanzania.

Pia amesema wataweza Kujifunza moja kwa moja mbinu za kiufundi za Kijapani, Mafunzo ya utamaduni wa Kijapan, lugha ya Kijapani, kutembelea sehemu za kitamaduni.

Aidha watakuwa na ziara za viwandani katika Jiji la Nagai na mafunzo ya vitendo katika viwanda vya Kijapani.

You Might Also Like

Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 

TARURA Yatoa Elimu Nane Nane

VETA Mtwara Yawafundisha Wanafunzi Uongezaji Thamani Kwenye Korosho, Mwani

TARURA Yatenga Milioni 580 Kuboresha Barabara Zinazohudumia Sekta ya Madini Geita

Miradi 10 Ya Kimkakati TPA Kuinua Uchumi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article UDSM Yatumia Teknolojia Ya Kidijitali Kukabili Sumukuvu
Next Article Samia Kukagua Barabara Ya Mzunguko, Uwanja Wa Ndege Msalato Kesho
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?