MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Vyama Vya Wafanyakazi Kujadili Hatma Ya Wafanyakazi TAZARA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Vyama Vya Wafanyakazi Kujadili Hatma Ya Wafanyakazi TAZARA
Habari

Vyama Vya Wafanyakazi Kujadili Hatma Ya Wafanyakazi TAZARA

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: CHAMA cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU), pamoja na cha Zambia, vinatarajia kukutana mwanzoni mwa mwaka ujao 2025 kwa ajili ya kujadili ubinafsishwaji wa Reli ya Tanzania na Zambia  (TAZARA).
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Eddo Makata amesema hayo alipozungumza na Mwandishi wa Mfanyakazi Tanzania kuhusu ubinafsishwaji unaoenda kufanyika ambapo serikali za nchi zote mbili zimeshakubaliana.
Makata amesema serikali za nchi hizo mbili zimekubaliana kampuni kutoka China ya CCECC kuendesha reli hiyo.
“Ubinafsishaji huu utaendana na masharti kadhaa kwa sababu wameshasaini MOU, baada ya kusaini wanaingia mkataba sasa katika mkataba wanaoingua sisi kama vyama vya wafanyakazi  TRAWU na wenzetu walioko Zambia tutakutana kuona ni kitu gani kimepangwa kwa ajili ya mfanyakazi wa TAZARA.
” Anaondolewa kwenye taasisi au haondolewi. Ni nini anafanyiwa. Kwa hiyo tunategemea mwakani mapema tutapigania maslahi ya mfanyakazi huyu wa TAZARA,” amesema.

You Might Also Like

OSHA Yatoa Gawio Kwa Serikali Zaidi  Ya Bilioni 10

Tanzania Kuweka Muongozo wa Kitaifa wa Usimamizi wa Takwimu Kidijitali

Mchengerwa Awafunda Walimu

Mwanachama Wa TALGWU Akutwa Hana Hatia

Rais Wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Mgeni Rasmi Mkutano Wa THRAPA

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TRAWU Yapigania Wafanyakazi TAZARA Nyongeza Ya Mshahara
Next Article Utiaji Saini Mkataba Wa Ujenzi Jengo La TUGHE Wafanyika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Twendeni Tukapige Kura Ya Ukombozi, CHAUMMA Yahitimisha Kampeni
Habari October 28, 2025
Elimu Ya Nishati Safi Ya Kupikia Yawafikia Maofisa Dawati Ngazi Ya Mikoa Na Halmashauri
Habari October 27, 2025
Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura
Habari October 25, 2025
Shibuda: WanaMaswa jitokezeni kupiga kura bila woga
Habari October 25, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?