MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ushirikiano Wa Nchi Za Kiafrika Uthibitike Kwa Vitendo -Dkt. Biteko
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ushirikiano Wa Nchi Za Kiafrika Uthibitike Kwa Vitendo -Dkt. Biteko
Habari

Ushirikiano Wa Nchi Za Kiafrika Uthibitike Kwa Vitendo -Dkt. Biteko

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema ndoto za Wanamajumui wa Afrika (Pan Africanism) zimeanza kuthibitishwa kwa Waafrika wenyewe kuwekeza katika mipango ya maendeleo ya muda mrefu ikiwemo ya elimu, afya, kilimo, uvuvi na madini.

Ushirikiano baina ya nchi za kiafrika katika sekta mbalimbali utaziwezesha kuondokana na minyororo ya kikoloni kama ilivyokuwa katika malengo ya waasisi wa nchi hizo.

,Dkt. Biteko ameyasema hayo leo Septemba 4, 2024 wakati alipotembelea Chuo cha Triumphant kilichopo Windhoek, Namibia ikiwa ni sehemu ya Mkutano wa Kimataifa wa Hydrogen Barani Africa (Global African Hydrogen Summit)

 

Akitoa mfano wa ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Namibia amesema Chuo cha Triumphant hivi karibuni kitakuja na mpango wa mafunzo ya Lugha ya Kiswahili ambapo Tanzania kupitia Chuo Kikuu Huria kitatoa walimu wa Lugha hiyo.

Akiwa Chuoni hapo Dkt. Biteko ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Namibia, Caesar Chacha Waitara, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesemi Mramba, Kamishna wa Nishati, Innocent Luoga pamoja na Maofisa mbalimbali kutoka ubalozini ambao wameshuhudia maabara mbalimbali ikiwemo chumba cha kompyuta.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Chuo hicho, Profesa Geoffrey Kiangi amemshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri Wa Nishati, Dkt. Doto Biteko kwa kutenga muda wake na kufanya ziara chuoni hapo.

You Might Also Like

Mkurugenzi VETA Kasore Akiteta Jambo Na Mhitimu Fani Ya Ushonaji

Uchaguzi Serikali Ya Mitaa kufanyika Novemba 27

Utiaji Saini Mkataba Wa Ujenzi Jengo La TUGHE Wafanyika

VETA Mtwara Watua Na Mwani Maadhimishilo Ya Miaka 30

Wafugaji huchakachua maziwa kwa kuongeza mafuta, maji, magadi au mkojo wa ng’ombe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania kujiimarisha zaidi kidiplomasia – Majaliwa
Next Article Polisi wazuia uhalifu Tanganyika Packers
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Habari August 6, 2025
VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo
Habari August 6, 2025
UDSM Yaanzisha Mkakati Kuokoa Nyuki Wadogo
Habari August 6, 2025
UDSM Imekuja Na App Inayounganisha Wakulima na Watoa Huduma za Kilimo kwa Haraka
Habari August 5, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?