MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ununuzi Wa Ndege Anga Za Kilimo Uanze Sasa-Bashe
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ununuzi Wa Ndege Anga Za Kilimo Uanze Sasa-Bashe
Habari

Ununuzi Wa Ndege Anga Za Kilimo Uanze Sasa-Bashe

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu

DODOMA: SERIKALI imepokea ndege mpya ya Kisasa ya kudhibiti visumbufu vya mimea nchini aina ya Trash P2+ na kuagiza mchakato Wa ununuzi Wa ndege nyingine tatu kuanza mara Moja kwa vituo vingingine nchini kuanzia sasa.

Waziri Wa Kilimo Hussein Bashe amesema hayo wakati akipokea ndege hiyo jijini Dodoma, iliyoingia kwa uratibu wa Mamlaka ya Afya Ya Mimea Na Viuatilifu Tanzania {TPHPA).

Akizungumza ametoa maelekezo kwa Mamlaka hiyo kuhakikisha katika vituo vinne vya Kilimo nchini kuwe na Kilimo anga vikiwa na ndege pamoja na drones na mchakato Wa ununuzi Wa ndege hizo uanze sasa.

Amesema mchakato Wa ununuzi Wa ndege hizo uanze akiwa Bado madarakanu kabla ya kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu kwa kuwa bajetibya Kilimo imeshapita.

“Ni lazima kama nchi tujitegemee,dunia ya kubebana haipo,wadau Wa maendeleo tunawashukuru sana,” amesema Bashe akitaja vituo vinne vya Kilimo kuwa ni Arusha, Dodoma,Mwanza na Mbeya.

Amesema kama nchi imeshaanza kununua drones kwa ajilibya ufuatiliaji na sasa inanunuankwa ajilibya kunyunuiza na hivyo lazima watanzania wajue hilo.

Bashe amesema knunuliwa kwa ndege hiyo ni kupanua wigo Wa umwagiliahi na KWAMBA Kila Miundombinu inayoongezwa ya umwagiliahi ni kukaribisha kweleakwelea.

“Hivyo kelele za kwelea kwelea ni nchi nzima na kwamba Ilani ya ChamanCha Mapinduzi (CCM) iliyozinduliwa inazungumzia Kuwekeza kwenye Kilimo Cha umwagiliaji,” amesema na kuongeza kuwa ndio maana Kuna Mradi mkubwa Wa umwagiliaji kwa ziwa Viktoria na Tanganyika wenye hekta milioni tatu.

Amesema hivyo lazima kujiandaa, na kutambua kuwa Tanzania ina maeneo yenye mazalia ya nzige wekundu ambayo ni Dodoma,Katavi na Rukwa.

You Might Also Like

Watuhumiwa 25 Wa Makosa Ya Mtandao Wakamatwa Na Polisi

Watahiniwa 72 wa kidato cha nne wafutiwa mtihani kwa udanganyifu, kuandika lugha za matusi

Mume na Mke Wafariki Kwa Wivu Wa Kimapenzi

UDOM yashauri matumizi ya green house kupata tija

Ridhiwani, Mlao na wanachama wa CCM Kata ya Bwilingu wakinadi chama chao dakika za lala salama

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wanafunzi Shule Ya Anlex, Walimu Wao Watinga Bungeni
Next Article CCCC Yaandaa Tamasha La Dragon Boat
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Rais Wa CWT Suleiman Ikomba Sasa Ni Daktari
Habari September 13, 2025
Salum Mwalim: Nitarejesha Hadhi ya Kanda ya Ziwa na Kuinua Zao la Pamba
Habari September 12, 2025
TEA Yatathmini Utekelezaji na Kupanga Mwelekeo Mpya Kupitia Baraza la Wafanyakazi
Habari September 12, 2025
Manara: Sitapambana na Wafanyabiashara, Nitawatetea
Habari September 12, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?