MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Umka yawashauri wakulima kutumia mbolea yake
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Umka yawashauri wakulima kutumia mbolea yake
Habari

Umka yawashauri wakulima kutumia mbolea yake

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DODOMA: WAKULIMA nchini wameshauriwa kuitumia mbolea mpya aina ya NPK ili kupata matokeo chanya katika kilimo.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Umka Afrika LTD inayojishughulisha na kuingiza mbolea nchini,  Benjamin Laizer amesema hayo katika maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yajulikanayo kama 88 yanayoendelea Jijini Dodoma.
Laizer amesema mkulima anapotumia mbolea hiyo hahitaji kuitumia nyingi kutokana na ubora wake.
“Mkulima anapotumia mbolea hii, anatumia mbolea kidogo kwa faida kubwa kwenye uzalishaji kwa sababu mkulima lazima aone tija.
” Kwenye kile ambacho unakitumia huhitaji kutumia kikubwa sana, unatumia kidogo ili upate kingi. Hii ndio faida tuliyonayo kama Umka,” amesema.
Kuhusu soko la mbolea, amesema hapa Tanzania mahitaji  ni makubwa hivyo wao wana nafasi kubwa ya kuingiza bidhaa ambayo itakidhi mahitaji ya watanzania hususan katika kuongeza tija kwenye uzalishaji.

You Might Also Like

CCM yavunja rekodi – Makala

Masoko mapya nje ya nchi kuipatia nchi sh. trilioni 10

TFS Yashiriki Maonesho ya Nane ya Madini Geita

Serikali Yazindua Mafunzo Ya Mtandao Ya Afya Moja

Samia, Nchimbi Kuchukua Fomu Ya Urais Kesho

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Shemdoe aridhika huduma zinazotolewa na TVLA nanenane
Next Article Rais Samia akunwa na Tarura
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nchimbi Ahimiza Ushirikiano wa Wizara Katika Uhifadhi wa Mazingira
Habari March 10, 2026
Mtaka, Ndunguru Wakubaliana Ujenzi wa Maabara ya Kimkakati Njombe
Habari March 10, 2026
Wataalamu wa Fedha SADC Wakutana Pretoria Kujadili Bajeti
Habari March 9, 2026
TASFAM Yawawezesha Wanawake wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kuadhimisha Siku ya Mwanamke
Habari March 9, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?