MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TPHPA ina mchango mkubwa utoshelevu wa chakula – Profesa Ndunguru
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TPHPA ina mchango mkubwa utoshelevu wa chakula – Profesa Ndunguru
Habari

TPHPA ina mchango mkubwa utoshelevu wa chakula – Profesa Ndunguru

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DODOMA: MAMLAKA ya Mimea na Viuatilifu nchini (TPHPA), ina mchango mkubwa wa nchi katika kuwa na utoshelevu wa chakula kutokana na jitihada inayofanya ya kudhibiti visumbufu vya mazao.
Mkurugenzi Mkuu wa TPHPA, Profesa Joseph Ndunguru amesema hayo wakati wa Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi, yanayofikia kilele chake kesho.
Amesema katika siku za karibuni mamlaka hiyo ilifanikiwa kudhibiti ndege aina ya kwelea kwelea ambao walikuwa wakishambulia mashamba makubwa ya mpunga.
“Tunaona mamlaka ikidhibiti tija ikaongezeka inachangia kwenye ongezeko la chakula, pia inaimarisha masoko,” amesema.
Kwa upande mwingine amesema, mamlaka hiyo inapofanya kazi zake inachangia utekelezaji wa vipaumbele vya wizara ya kilimo.
“Kwa sasa hivi mamlaka imeandaa taarifa ambayo inasaidia kufunguka kwa masoko katika nchi 15. Hivi karibuni mabalozi watakabidhiwa taarifa hizo,” amesema.
Maelezo ya Profesa Ndunguru ni kwamba, mwisho wa siku mchango wa mamlaka utasaidia kuonekana katika kukua kwa pato la taifa.

You Might Also Like

Bashungwa Asema Wafungwa Kupewa Mafunzo Ya Ufundi Stadi

Ridhiwani Kikwete Ajiandikisha Kupiga Kura Kijijini Msoga

Ridhiwani Awataka Wananchi Kuboresha Taarifa Zao Tayari Kwa Uchaguzi Mkuu

AU yataka vyombo vya habari Afrika, kulinda Uhuru wa vyombo vya habari 

Mikataba ya Bilioni 50.9 Yasainiwa kuwezesha nishati safi ya kupikia

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Limeni mkonge unalipa – Maghali
Next Article Jisajilini mapema mpate mbolea ya ruzuku
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Zimbabwe Yakabidhi Uenyekiti Kwa Madagascar
Habari August 7, 2025
Tume ya Kurekebisha Sheria Yatoa Onyo Kali kwa Wanaovunja Sheria za Umwagiliaji
Habari August 7, 2025
DC Atoa Wito kwa Tume ya Kurekebisha Sheria Kuzingatia Sheria Ndogondogo za Halmashauri
Habari August 7, 2025
TPHPA Yaleta Mapinduzi Mapya Katika Kilimo Kupitia Teknolojia ya Vinasaba
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?