Na Mwandishi Wetu
.TIMU ya watanzania ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea ya Viuatilifu (TPHPA), Profesa Joseph Nduguru, imekutana na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mathew Mkingule, Ofisini kwake mjini Lusaka na kufanya naye mazungumzo