MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Thamani ya Fedha Ionekane Kwenye Utekelezaji wa Miradi-Nyamoga
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Thamani ya Fedha Ionekane Kwenye Utekelezaji wa Miradi-Nyamoga
Habari

Thamani ya Fedha Ionekane Kwenye Utekelezaji wa Miradi-Nyamoga

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) ikiongozwa na Mwenyekiti Justine Nyamoga, imeridhishwa na namna ambavyo miradi mbalimbali ya afya na miundombinu ya barabara imetekelezwa katika Halmashauri ya Wiliya ya Wanging`ombe na kusisitiza kuwa miradi yote lazima iende pamoja na thamani yake ya fedha.

Amesema kumekuwa na miradi mbalimbali ya afya na miundombinu ya barabara inatekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini lakini kuna baadhi ya Halmashauri ambazo kamati imezitembelea na kubaini thamani ya fedha kutokuonekana kwenye miradi yao.

Amezitaka Halmashauri zote kusimamia thamani ya fedha katika miradi yao.

Nyamoga ameyasema hayo katika Ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya afya, na miundombinu ya barabara inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Wanging`ombe Mkoani Njombe ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya Kamati hiyo ya siku tatu Mkoani hapo.

 

Aidha kamati imeielekeza Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri kufikilia njia mbadala ya kuweka Uzio katika Hospitali ya Wilaya ya Wanging`ombe kwa lengo la kuboresha ulinzi na usalama wa wananchi wote watakaokuwa wakipatiwa huduma katika hospitali hiyo.

Katika hatua nyingine Wajumbe wa Kamati hiyo wameishauri Halmashauri kupanda miti ya matunda na vivuli katika Zahanati, vituo vya afya na hospital ya Wilaya ili kuendeleza utunzaji wa mazingira na pia kutumika kama maeneo ya kupumzika kwa wananchi wanaopatiwa huduma katika viyuo hivyo.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Zainab Katimba amesema Serikali imeyapokea yote yaliotolewa na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Kwenda kuyatekeleza.

You Might Also Like

CPC chatambua juhudi za Rais Samia

TUCTA Yafuatilia Hotuba Ya Waziri Mkuu Bungeni

Watanzania Acheni Kuchanganya Mazao -Jafo

Ridhiwani Kikwete aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali,  apokea vifaa tiba na madawati kutoka NMB

Chalamila Akabidhi milioni 100, saruji Kukamilisha Zahanati

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wahifadhi Saohill Wapongezwa
Next Article CMA yawataka wafanyakazi walioachishwa kazi kuwasilisha mgogoro ndani ya muda
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?