MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TARI Kibaha Yaboresha Pia Mbegu za Mazao ya Mizizi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TARI Kibaha Yaboresha Pia Mbegu za Mazao ya Mizizi
Habari

TARI Kibaha Yaboresha Pia Mbegu za Mazao ya Mizizi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
MOROGORO: MBALI na miwa, TARI Kibaha inahusika pia na uzalishaji wa mbegu bora za muhogo na viazi vitamu.
Mtafiti kutoka TARI Kibaha, Msajigwa Mwakyusa, amesema hayo katika maonesho ya nanenane  Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro.
Amesema taasisi hiyo ina aina 25 za mbegu bora za muhogo ambazo zinastahimili ukame, zina tija ya zaidi ya tani 20 kwa hekta pia zina ukinzani dhidi ya magonjwa ya batobato na michirizi ya kahawia
Amesema mfumo rasmi wa upatikanaji wa mbegu umewekwa ambapo TARI huzalisha mbegu za awali, kisha wadau wengine huzalisha daraja la msingi, cheti na umbegu.
“Aina ya Kiroba hukomaa kati ya miezi nane hadi 12, na huweza kutoa mavuno ya hadi tani 31 kwa hekta,” amesema.
Kwa upande wa mbegu za viazi vitamu amesema TARI Kibaha ina aina 20 za viazi vitamu, ambapo mbegu 12 kati yake ni viazi lishe.
“Mbegu hizi zinatoa tija ya zaidi ya tani 10 kwa hekta, zinakomaa ndani ya miezi minne, zinastahimili ukame na magonjwa ya virusi pamoja na zinakabili wadudu waharibifu kama vidumuzi wa viazi ” amesema.
Maelezo yake ni kwamba viazi lishe vina kiasi kikubwa cha vitamini A, ambayo ni muhimu kwa watoto chini ya miaka mitano,wamama wajawazito na wanaonyonyesha, pamoja na wazee.
Amesema vitamini A husaidia kuimarisha afya ya macho, pia kwa kinga ya mwili.

You Might Also Like

Chalamila Atoa Wiki Mbili Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kufungua Njia Kariakoo

UDOM yashauri matumizi ya green house kupata tija

Masauni Akabidhi Polisi Magari 77

Ridhiwani Ashiriki Kikao Cha Kazi Na Ajira Saudi Arabia

Miradi ya maedeleo na Huduma za afya isimamiwe kwa ukaribu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TAMWA Yawawezesha Wanawake Kupitia Mradi wa Nyuki
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TAMWA Yawawezesha Wanawake Kupitia Mradi wa Nyuki
Habari August 7, 2025
Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?