MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania Yaongeza Kasi ya Utafutaji Masoko ya Parachichi Ulaya
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania Yaongeza Kasi ya Utafutaji Masoko ya Parachichi Ulaya
Habari

Tanzania Yaongeza Kasi ya Utafutaji Masoko ya Parachichi Ulaya

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
BALOZI wa Tanzania nchini Ujerumani, Hassan Mwamweta, ameongoza ujumbe wa wakulima na wafanyabiashara kutoka Tanzania kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mboga mboga ya ‘Fruit Logistica 2026’ yaliyofanyika jijini Berlin kuanzia Februari 3 hadi 6, mwaka huu 2026.
Ujumbe huo unajumuisha Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA), Saleh Saad Mohamed.
Habari Picha 11116
Taarifa inaeleza lengo la ushiriki wao ni kutafuta na kupanua masoko ya mazao ya Tanzania hususan parachichi, kuongeza mtandao wa wafanyabiashara, pamoja na kujifunza fursa na mbinu mpya katika kilimo-biashara.
Zaidi ya kampuni 40 kutoka Tanzania, kwa kushirikiana na Chama cha Wakulima wa Mazao ya Bustani Tanzania (TAHA), Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) pamoja na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), zinashiriki maonesho hayo.
Kwa ujumla, maonesho ya Fruit Logistica 2026 yamewakutanisha zaidi ya kampuni 2,600 kutoka nchi 151 duniani.
Habari Picha 11117
Fruit Logistica ni maonesho makubwa ya kimataifa yanayowaleta pamoja wakulima, wasambazaji, wanunuzi, wasafirishaji na wadau mbalimbali katika mnyororo wa thamani wa matunda na mbogamboga kutoka sehemu mbalimbali duniani.

You Might Also Like

Tanzania Mwenyeji Mkutano wa Mafuta na Gesi, 2025

TMA yawafikia taasisi za utafiti wa kilimo

Simbachawene: Nitaheshimu Mfumo Wa Uongozi Na Kushirikiana

Mfumo Uendeshaji Mashauri Kidigitali Kwa Watumishi wa Umma Uharakishwe

VETA kushirikiana na Toyota Tanzania kuboresha mafunzo ya ufundi magari

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Umeme Vitongojini Wachoche Uchakataji Mazao Katavi
Next Article Pinda Aitaka Jamii Kujikita Upandaji Miti Bila Kusubiri Matukio Maalumu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

IITA Yawekeza Bilioni 410 Tanzania Kuimarisha Kilimo, Utafiti
Habari May 9, 2026
Vyuo Vikuu Vyahitaji Mkakati Madhubuti wa Tafiti — Yanda
Habari May 8, 2026
Asilimia 26 Ya Wanawake Ndio Wanaoamini Kuwa Na Uhuru Wa Kufanya Maamuzi Ya Kufanya Shughuli Za Uchumi
Habari May 8, 2026
Kesi 100 Za Wananchi Zasikilizwa Na Kupatiwa Suluhu Katiba Na Sheria
Habari May 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?