MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania, UAE Kuimarisha Ushirikiano Wa Kibunge
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania, UAE Kuimarisha Ushirikiano Wa Kibunge
Habari

Tanzania, UAE Kuimarisha Ushirikiano Wa Kibunge

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, pamoja na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Yacoub Mohamed, wamefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Saqr Bhogash, katika ofisi za Bunge hilo Abu Dhabi, Novemba 25, 2025.
Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili, hususan katika upande wa Mabunge.
Habari Picha 10441
Aidha, imekubaliwa kuunda kamati ya kudumu ya ushirikiano baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu.
Kamati hiyo itaratibu masuala ya pamoja, ikiwemo ziara za Wabunge na Viongozi wa Mabunge ya pande zote mbili kwa ajili ya kubadilishana uzoefu na mafunzo ya kujengeana uwezo katika masuala ya kibunge.
  1. Habari Picha 10442

You Might Also Like

Marekebisho ya sheria huangalia mazingira ya sasa na yajayo – Tume

Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama

Dkt. Bwana: Tunafanya utafiti wa mbegu kutatua changamoto za wakulima

Mama Mchumgaji TAG Zinga, Asheherekea Siku Ya Kuzaliwa Na Watoto Yatima, Mazingira Magumu

Waislamu Watakiwa Kusimamia Misingi Ya Upendo, Ushirikiano, Amani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Viongozi Watakiwa Kuweka Haki Mbele Katika Kusimamia Masuala ya Wafanyakazi — COWTU (T)
Next Article Tanzania Yapongeza China Kwa Kuimarisha Uhusiano Wa Kidiplomasia Kupitia Lugha, Utamaduni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tume Ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi Yatoa Siku Saba Kwa Taasisi Kujisajili
Habari June 12, 2026
Teknolojia Ya Juisi YA Ndizi Kali Yafungua Fursa Mpya Za Viwanda, Ajira
Makala Uncategorized June 12, 2026
Serikali Yaingia Makubaliano Ya Ushirikiano Na DIT Kuimarisha Usimamizi Wa Mataifa
Habari June 8, 2026
Wananchi Waelimishwa Masharti ya Kubadilisha Noti Zilizochakaa, Kuungua na Kuchanika
Habari June 7, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?