MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania Kushirikiana na Finland Uboreshaji Mbegu za Miti
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania Kushirikiana na Finland Uboreshaji Mbegu za Miti
Habari

Tanzania Kushirikiana na Finland Uboreshaji Mbegu za Miti

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu, Lahti, Finland
WIZARA Ya Maliasili na Utalii imeahidi kushirikiana na Kituo kikubwa cha kuzalisha mbegu za miti katika mji wa Oitti, Lahti, Finland.
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt.Hassan Abbas amesema hayo nchini Finland alipoongozana na Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Misitu Tanzania ( TFS), Profesa Dos Santos Silayo akiwa katika kituo hicho.
“Tanzania tuna vituo vyetu vya mbegu za miti lakini hapa tumejionea teknolojia za kiwango cha juu na kwa kuwa hapa nipo na Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wetu wa Misitu (TFS), Prof. Dos Santos Silayo, tumekubaliana tutashirikiana na kituo hiki kuboresha utafiti wetu na uzalishaji wa mbegu na miche ya miti nchini,,” amesema.
Kituo hicho ni miongoni mwa vituo vya mbegu vinavyoongoza Ufini na duniani kuzalisha mbegu bora za miti ya mbao na kufanya pia tafiti za mbegu za aina mbalimbali ya miti.
Pia Dkt. Abbasi na ujumbe wake walitembelea moja ya kampuni kubwa ya kutengeneza vifaa vya viwanda vya mbao cha Raute, Lahti, kinachouza vifaa vyake nchi mbalimbali duniani na kujionea teknolojia za kisasa katika sekta ya misitu.

You Might Also Like

Wananchi Wahimizwa Kulinda Maeneo Yaliyohifadhiwa  Kisheria- Kamishna  Wakulyamba

Majaliwa Aagiza Sera Ya Elimu Kusimamiwa Kikamilifu

Uzalishaji wa chuma kuanza nchini 

Kapinga Ahamasisha Wananchi Kushiriki Uchaguzi Serikali Ya Mtaa

Waislamu Watakiwa Kusimamia Misingi Ya Upendo, Ushirikiano, Amani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Walimu Kupatiwa Mafunzo ya Tehama
Next Article Sierra Leone Yaipongeza TARURAUjenzi Wa Madaraja, Barabara Za Mawe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

JAB Yatoa Mwezi Moja Kuthibitishwa, kupewa vitabulisho
Habari May 22, 2025
Hali Ya Ulinzi Na Usalama Wa Mipaka Ni Salama
Habari May 22, 2025
Ulega Ataka Ushirikiano Miradi Ya Kimkakati Ikamilike Kwa Wakati
Habari May 22, 2025
Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee
Habari May 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?