MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TANESCO Tunathamini Wadau Wa Maendeleo- Nyamo-Hanga
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TANESCO Tunathamini Wadau Wa Maendeleo- Nyamo-Hanga
Habari

TANESCO Tunathamini Wadau Wa Maendeleo- Nyamo-Hanga

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu
MLURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema TANESCO inathamini michango inayotolewa na wadau wa maendeleo katika kuimarisha sekta ya nishati nchini.

Nyamo-Hanga ameyasema hayo Mombasa nchini Kenya wakati akitoa wasilisho kuhusu Sekta ya Umeme Tanzania katika mkutano uliowakutanisha nchi Wanachama wa Mashariki mwa Afirka (EAPP) na wadau mbalimbali katika sekta ya umeme.

“Tunatambua ushiriki wa wadau wa Maendeleo katika kuongeza biashara ya umeme nchini Tanzania kwa kufadhili miundombinu ya mfumo wa umeme katika maeneo ya uzalishaji wa umeme na mifumo ya Usambazaji wa umeme.” Amesema Nyamo-Hanga.

Kuhusu wawekezaji binafsi katika sekta ya umeme, Nyamo-Hanga amesema kwa upande wa uzalishaji umeme wapo wawekezaji na kutanabaisha kuwa kwa sasa hakuna wawekezaji binafsi kwa upande wa usambazaji wa umeme na kwa upande wa mfumo wa usafirishaji wa umeme unaendeshwa na Serikali kupitia TANESCO.

Nyamo-Hanga ameongeza kuwa, Serikali inaendelea kuangalia njia bora ya kushirikisha sekta binafsi katika ujenzi na uendeshaji wa mifumo ya usafirishaji wa umeme bila kuathiri uthabiti wa mifumo hiyo.

Akielezea faida zitakazopatikana kutokana na Tanzania kushiriki soko la Kanda la biashara ya umeme kwa kuingia katika muunganiko wa kuuziana na kununua umeme kwa upande wa Mashariki (EAPP) na Kusini mwa Afrika (SAPP), Nyamo-Hanga amesema nchi itafaidika kwa kuuza umeme kutokana na uwekezaji mkubwa Serikali inaoufanya katika eneo la uzalishaji wa umeme.

Amesema Kijiografia Tanzania ipo katikati Nchi zilizo upande wa Kaskazini mwa Afirika zitakapo hitaji kufanya biashara ya umeme na Nchi zilizo Kusini mwa Afrika na zitahitajika kuupitisha umeme katika miundombinu ya kusafirishia umeme ya Tanzania hivyo Nchi itafaidika kwa kupata fedha za kigeni.

Amesema pia kwa upande mwingine kutakuwa utulivu wa gridi kupitia kuunganishwa kwa gridi ya Kanda kwa karibu. Gridi ya kanda inayounganishwa itatoa fursa ya kuingiza nishati mbadala kutokana na akiba ya pamoja ya mifumo, kuongezeka kwa usalama wa ugavi wa umeme na fursa za kuuza/kununua umeme wa bei nafuu kutoka soko la kanda

You Might Also Like

MOI Yaeleza Sababu Viungo Bandia Kuuzwa Kwa Bei Kubwa

Someeni fani zisizo maarufu – mwalimu

Ushiriki Wa Wanawake, Wasichana Katika Sayansi Ni Mdogo

Shemdoe apongeza

Muhimbili yarejesha tabasamu kwa Karume baada ya miaka 25 ya mateso

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Nishati Safi Ya Samia Yawafikia Wanawake chalinze
Next Article Kampuni ya Kichina CCCC yatoa msaada wa vitabu UDSM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?