DODONA:KIKAO cha siku mbili cha Baraza la Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU), Disemba 19 hadi 20, 2024 kilichofanyika Hoteli ya Royal village. Kikao kilifunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa TALGWU Taifa Romward Mwashiuya.
TALGWU Chafanya Kikao Cha Baraza La Wafanyakazi Dodoma

Leave a comment
Leave a comment