MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Taasisi Za Dini Zinazofanya Biashara Zinatakiwa Kulipa Kodi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Taasisi Za Dini Zinazofanya Biashara Zinatakiwa Kulipa Kodi
Habari

Taasisi Za Dini Zinazofanya Biashara Zinatakiwa Kulipa Kodi

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: TAASISI za kidini zinazofanya biashara badala ya kutoa huduma zinatakiwa kulipa kodi ya Serikali na si vinginevyo.

Kamishina wa TRA  Yusuph Mwenda, amesema hayo wakati akitoa taarifa ya maendeeo kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Habari Maelezo Jijini Dodoma juu ya mafanikio ya Mamaka hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema hayo baada ya kuulizwa swali na Mwandishi wa Habari wa Mfanyakazi Tanzania, aliyetaka kujua ni utaratibu gani uliowekwa kwa taasisi za dini zinazojenga vitaga uchumi na kuwakodosha wafanya biashara.
Akijibu swali hilo amesema,  taratibu zinaonesha wazi kwamba taasisi za dini zinazotoa huduma zinapewa misamaha ya kodi.
“Tunatoa misamaha ya kodi kwa taasisi  zinazotoa huduma lakini kama taasisi inafanya biashara au imejenga jengo na inakodisha inatakiwa kulipa kodi kwani taasisi hiyo inafanya boashara,” amesema.
Pia amesisitiza watanzania kulipa kodi kwa hiari kwa faida ya maslahi mapana kwa taifa.

You Might Also Like

Jengo la Uwekezaji la Wafanyakazi Kufunguliwa Novemba 

Asilimia 86.2 ya Wanawake  wanajishughulisha na shughuli za madini

Nyamhokya: Mei Mosi Ni Singida Mwaka Huu 2025

Homa ya nyani mjadala wa dharura kwa mawaziri wa afya Afrika

Majaliwa Asema Sekta ya Uvuvi Yaingiza trilioni 2.9 kwa Mwaka 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mbogamboga Na Vitunguu Vyaingiza Sh. Milioni 370 Kwa Miaka Minne
Next Article SEforALL Kuimarisha Ushirikiano Upatikanaji Nishati Endelevu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
Mafua, Kifua Yadaiwa Kusababisha Kifo cha Job Ndugai
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?