MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Siri ya ushindi JKT hii hapa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Siri ya ushindi JKT hii hapa
Habari

Siri ya ushindi JKT hii hapa

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
“HAYA maonesho tumeyapa umuhimu wake kwa sababu tulidhamiria kushinda. Sio mara ya kwanza kupata ushindi. Tumeweka bidii na tulidhamiria tutashinda,”.
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajab Mabele amesema hayo muda mfupi baada ya kutangazwa washindi wa kwanza wa jumla katika maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yajulikanayo kama 88, yaliyofanyika mkoani Dodoma.
Amesema katika maeneo ya kilimo, ufugaji na uvuvi wamekuwa wakiyafanya kitaalamu, na ni maeneo wanayoshughukika nayo siku zote kwa mwaka.
Amesema JKT  limepata ushindi wa kwanza wa jumla katika maonesho hayo kutokana na bidii waliyoionesha katika maandalizi ya maonesho hayo.
“Mahali hapa sisi ni pa kudumu, na siyo tupo wakati wa maonesho tu, na ushindi wowote ni bidii,hata mwanafunzi anapokuwa shuleni ,ili afanye vizuri anatakiwa kufanya bidii na ndiyo maana tumechukua ushindi huu na hata mwaka jana hapa Dodoma tulishinda nafasi ya kwanza,”amesema.
Amesema, “Katika kilimo,tunaonesha kilimo bora,katika mazao ya bustani tunalima kitaalam ,lakini pia katika eneo la mifugo nako  tunao ng’ombe wetu na mifugo mingine ambayo pia tunafuga kitaalam,
“Ukija katika eneo la uvuvi na ufugaji hali kadhalika tunafanya vizuri,tunazo teknolojia ya ufugaji samaki wa matenki ambao sisi JKT ndiyo tulianzisha Teknolojia hii na kuipeleka katika maonesho mbalimbali ambayo sasa hivi inafanywa na wengi.”amesema Meja Jenerali Mabele.

You Might Also Like

Ununuzi Wa Ndege Anga Za Kilimo Uanze Sasa-Bashe

Makumbuli: Tunapinga kilimo cha bangi na mirungi

Trilioni 1.2 Kumaliza Tatizo la Maji Dar

Rais Samia akagua gwaride maalum

Bashungwa Asema Wafungwa Kupewa Mafunzo Ya Ufundi Stadi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TMA yawafikia taasisi za utafiti wa kilimo
Next Article Maofisa Tarafa na Watendaji wa Kata Waaswa kuwa wabunifu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
Mafua, Kifua Yadaiwa Kusababisha Kifo cha Job Ndugai
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?