MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali yatambua deni la Kiwira Coal Mine Bill.1.52
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali yatambua deni la Kiwira Coal Mine Bill.1.52
Habari

Serikali yatambua deni la Kiwira Coal Mine Bill.1.52

Penina Malundo
By Penina Malundo
Share
1 Min Read

Na Mwandishi wetu,DODOMA

Naibu Waziri wa Madini Dkt.Steven Kiruswa amesema Serikali imelitambua deni la Shilingi Bilioni 1.52 lililotokana na mapunjo ya mafao kutoka kwa waliokuwa wafanyakazi na madeni ya Wazabuni wa Mgodi wa Kiwira Coal Mine kabla ya ubinafsishaji.

Dkt. Kiruswa ameyasema hayo leo Septemba 2, 2024, Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kyela Ally Mlanghila Jumbe aliyetaka kujua mahali ulipofikia mchakato wa Serikali wa kuwalipa wafanyakazi hao na kuongeza kwamba, tayari deni hilo limepelekwa Hazina baada ya uhakiki kukamilika liweze kulipwa pindi fedha zitakapopatikana.

‘’Mhe. Spika, uhakiki wa madeni hayo ulibaini madai ya wafanyakazi yalikuwa shilingi bilioni 1.024 kwa wafanyakazi 893 na madeni ya wazabuni ikiwemo watoa huduma ya ulinzi yalikuwa ni shilingi milioni 496 na kufanya deni lote kuwa jumla ya shilingi bilioni 1.52,’’ amesema Dkt. Kiruswa.

 

Amefafanua kuwa, baada ya Chama cha Wafanyakazi Mgodini (TAMICO) kuwasilisha malalamiko ya mapunjo hayo Serikalini, Serikali ilifanya ukaguzi maalum kupitia kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Novemba 2008 na baadaye Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali (Internal Audit General) alihakiki madeni hayo Agosti, 2021.

 

*#Kutoka Bungeni*

You Might Also Like

TPHPA Yapata Dawa Ya Visumbufu Vya Mazao

Afrika yatakiwa kutokuwa na Matabaka katika kutekeleza AFCFTA 

TMA yatoa mwelekeo mvua za vuli 2024

OSHA Yatoa Gawio Kwa Serikali Zaidi  Ya Bilioni 10

Mkurugezi Mkuu LATRA, Kamanda Ng’anzi Wafanya Ukaguzi Wa Kushtukiza Stendi Ya Magufuli

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji utakaoongeza thamani ya Madini nchini
Next Article DART Toeni Fursa Kwa Watanzania Kuwekeza kwenye Mwendokasi -Mchengerwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?