MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Yasisitiza Utoaji Huduma Bora Utekelezaji Bima Ya Afya
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Yasisitiza Utoaji Huduma Bora Utekelezaji Bima Ya Afya
Habari

Serikali Yasisitiza Utoaji Huduma Bora Utekelezaji Bima Ya Afya

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu

NAIBU  Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya,  Mohammed Mchengerwa, amewataka viongozi na watendaji wa sekta ya afya nchini kuhakikisha utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote ya mwaka 2023 unakwenda pamoja na utoaji wa huduma bora, zenye utu na zisizo na ubaguzi kwa mwananchi.

Dkt. Samizi ameyasema hayo Desemba 19, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kikao cha viongozi wa sekta ya afya kilicholenga kutoa taarifa ya hatua iliyofikiwa kwenye maandalizi ya utekelezaji wa sheria hiyo, akibainisha kuwa maandalizi muhimu yamekamilika kabla ya kuanza usajili rasmi wa wananchi ndani ya mfumo wa bima ya afya kwa wote.

Amesema utekelezaji wa mpango huo ni sehemu ya kutafsiri maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ya kuhakikisha huduma za afya zinamfuata mwananchi badala ya mwananchi kuzifuata huduma, sambamba na kauli mbiu ya “Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.

Habari Picha 10601

Akizungumzia kuhusu maandalizi ya Serikali, Dkt. Samizi amesema Serikali imeendelea kuimarisha mazingira wezeshi ya utoaji huduma kwa kuongeza ajira za watumishi wa afya, kujenga na kukarabati vituo vya kutolea huduma za afya, kuboresha upatikanaji wa dawa pamoja na kununua na kusimikwa kwa vifaa tiba na vifaa vya kisasa.

“Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote inaweka msisitizo wa kila mwananchi kuwa na bima ya afya itakayomuwezesha kumudu gharama za matibabu na kupata huduma kwa uhakika pindi anapozihitaji,” amefafanua Dkt. Samizi

Habari Picha 10602

Dkt. Samizi amevutaka vituo vya kutolea huduma za afya kuimarisha madawati ya huduma kwa wateja na mifumo ya utoaji wa mrejesho, pamoja na kupitia maoni ya wananchi kwa vikao vya kiutawala ili kubaini maeneo yanayohitaji maboresho na kuendeleza yale yanayofanya vizuri.

Dkt. Samizi pia amesisitiza umuhimu wa kuzingatia utaratibu wa rufaa kwenye utoaji wa huduma za afya, akizitaka hospitali za rufaa za mikoa, kanda, Maalum na Taifa kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma katika ngazi stahiki kwa manufaa ya wananchi.

 

You Might Also Like

Umeme Jua Kuchoche Uchumi Maeneo Ya Vijijini

TPHPA Yapata Dawa Ya Visumbufu Vya Mazao

Miaka 60 Mikumi na mapinduzi makubwa sekta ya utalii

Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Wanaotumika Vibaya Waonywe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kapinga Afichua Fursa Kubwa za Ajira na Biashara kwa Vijana Nchini Tanzania
Next Article Wananchi Kunufaika Na Huduma Za Kijamii Mradi Wa LNG Mkoani Lindi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?