MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Inaendelea Kutekeleza Mradi wa Kupeleka Umeme Grid Ya Mtwara Na Lindi- Kapinga
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Inaendelea Kutekeleza Mradi wa Kupeleka Umeme Grid Ya Mtwara Na Lindi- Kapinga
Habari

Serikali Inaendelea Kutekeleza Mradi wa Kupeleka Umeme Grid Ya Mtwara Na Lindi- Kapinga

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na Mwandishi Wetu

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na  umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika.

Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma  wakati akijibu swali la  Zuberi Kuchauka, Mbunge wa Liwale aliyetaka kufahamu uamuzi wa Serikali kuhusu ujenzi wa  kituo cha umeme Jimbo la Liwale.

“Umuhimu wa kujenga kituo cha umeme Liwale upo kwa sababu kitaboresha upatikanaji wa umeme Liwale, nimhakikishie  Mbunge kwa sasa tunatekeleza mradi mkubwa wa kupeleka umeme wa gridi ya Taifa kwa mikoa tajwa.” Amesema  Kapinga

Akijibu swali la Mbunge wa Namtumbo,  Victor Kawawa aliyetaka kufahamu ni lini wananchi waliopisha mradi wa gridi ya Taifa kwenda Mikoa ya Mtwara na Lindi watalipwa fidia, Kapinga amesema agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha wananchi hao wanalipwa fidia linatekelezwa.

Kapinga, ametoa rai kwa wananchi hao kuendelea kutoa ushirikiano kwa kupisha maeneo yao ili mradi uweze kukamilika kwa wakati kwa manufaa ya Taifa.

Akijibu swali la Mbunge wa Meatu,  Leah Komanya aliyeuliza Serikali ina mkakati gani wa kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme katika Wilaya ya Meatu,  Kapinga amesema Wilaya ya Meatu inapata umeme kutokea Kituo cha Kupoza umeme cha Ibadakuli kilichopo Mkoani Shinyanga umbali wa kilomita 135.

Aidha, kukatika kwa umeme wilayani Meatu kunatokana na umbali mrefu wa njia ya kusafirisha umeme pamoja na uchakavu wa miundombinu ya umeme.

Kapinga ameongeza kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kukabiliana na tatizo hilo ikiwa ni pamoja na kufungwa vidhibiti umeme katika njia ya awali, kujenga njia ya kusafirisha umeme kutoka Mkalama Mkoani Singida hadi Bukundi Wilayani Meatu pamoja na zoezi la kubadilisha nguzo zilizochakaa kwa kuweka nguzo za zege.

“Mwaka wa fedha 2024/2025, Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme katika eneo la Imalilo, Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu ambapo itajengwa line ya umeme kutokea kwenye kituo hicho hadi Meatu.” Amesisitiza Kapinga.

Akijibu swali la Mbunge wa Bunda Mjini,  Robert Chacha aliyetaka kufahamu ni lini Serikali itakamilisha usambazaji wa umeme kwenye mitaa ya Halmashauri ya Mji wa Bunda,   Kapinga amesema tayari Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa vitongoji kumi na tano.

Akijibu swali la Mbunge wa Tarime Vijijini,  Mwita Waitara aliyetaka kufahamu ni lini Serikali itakamilisha usambazaji wa umeme katika Jimbo la Tarime Vijijini,   Kapinga amesema tayari Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa vitongoji kumi na tano.

Ameongeza kuwa kuanzia mwezi Desemba mwaka huu Serikali itaanza kutekeleza mradi mwingine wa Vitongoji  4,000 nchini.

 

 

You Might Also Like

CATC yawaita wakulima kusomea urushaji wa ndege nyuki

Trump Amteua Mtendaji Mkuu White House, Safari Ya Kuunda Timu Yake

BMT Yaleta Kicheko Kwenye Michezo

Midea Group Yafungua Duka Mlimani City Dar Es Salaam

Kamati Ya Bunge Yahimiza Maslahi Ya Watumishi Wapya Yazingatiwe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi Akutana na Katibu Mkuu CRC
Next Article CCM yavunja rekodi – Makala
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?