MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ridhiwani Aipongeza Mahakama Kuzingatia Ajira Kwa Wenye Ulemavu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ridhiwani Aipongeza Mahakama Kuzingatia Ajira Kwa Wenye Ulemavu
Habari

Ridhiwani Aipongeza Mahakama Kuzingatia Ajira Kwa Wenye Ulemavu

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ameipongeza Mahakama  kwa kutoa kipaumbele kwa wenye Ulemavu katika kada zote za kiutendaji.
Ridhiwani ametoa pongezi hizo alipokuwa akifunga mafunzo ya Watumishi  wa Serikali, Mahakama na Taasisi za Umma yaliyodhaminiwa na Mahakama Kuu ya Tanzania kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi Afya mahala pa kazi (OSHA).
Ameitaka mahakama kuendelea na mapambano ya kupinga unyanyasaji dhidi ya watu wenye ulemavu.
Ameeleza watendaji wa mahakama hatua mbalimbali zinazofanywa na serikali katika kuhakikisha Haki na Maslahi ya Wenye Ulemavi yanasimamiwa kwa kutunga sera na mipango mbalimbali inayowezesha Sera hizo kutekelezeka.

You Might Also Like

Wakulima Wa Mahindi Mvomero Walia Na Viwavijeshi Vamizi, Watafiti SUA kupitia Mradi Wa AGRISPARK Kuokoa Jahazi

Mikoa mitatu kuanzishwa vituo vya gesi asilia

Kilimo Shadidi Kinapunguza Uzalishaji Wa Gesi

Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi Kongani Ya Kwala

GIZ, IUCEA waratibu uchambuzi wa data kidijitali kwa wahitimu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwani, Ulega Washiriki Maulid Ya Kumswalia Mtume Muhammad
Next Article Baraza Kuu TUGHE Lasisitiza Haki, Wajibu Kuleta Tija Sehemu Za Kazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tulia Atoa Taarifa Kifo Cha Ndugai
Habari August 6, 2025
Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?