RAIS Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), Septemba 3, 2024.

Mfanyakazi Tanzania ni jukwaa la taarifa linalowakusanyia wafanyakazi habari za ajira, sheria za kazi, haki na wajibu wa mfanyakazi, matangazo rasmi, nyaraka za umma pamoja na fursa za elimu na mafunzo.
Maoni 0
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!