MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia Afungua Barabara Ya Mbinga-Mbamba Bay Yenye Km 66-Ruvuma
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Samia Afungua Barabara Ya Mbinga-Mbamba Bay Yenye Km 66-Ruvuma
Habari

Rais Samia Afungua Barabara Ya Mbinga-Mbamba Bay Yenye Km 66-Ruvuma

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua barabara ya Mbinga – Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma.

Ujenzi wa Barabara ya Mbinga – Mbamba Bay (km 66) umesimamiwa na Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara – TANROADS chini ya Mkandarasi China Henan International Cooperation Group Co. Ltd kutoka China na Mhandisi Mshauri kutoka SMEC International Pty Ltd kutoka Australia kwa gharama ya Sh bilioni 122.76.

Katika utekelezaji wa barabara hiyo, kiasi cha sh Milioni 637.4 kilitumika kulipa fidia kwa wananchi walioathirika na ujenzi kwa mujibu wa sheria.

 

Barabara ya Mbinga – Mbamba Bay ni sehemu ya barabara kuu ya ushoroba wa Mtwara yenye jumla ya urefu wa kilometa 826 inayoanzia Mtwara mpaka Mbamba Bay.

Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Ruvuma na Mkoa wa Mtwara pamoja na Mkoa wa Mbeya na nchi Jirani ya Malawi kupitia Ziwa Nyasa.

You Might Also Like

Vumbi la Nyuki Lapewa Uzito Singida: Latajwa Tiba ya Asili Yenye Virutubisho 99

Kamati YA Siasa Yaendelea Kukagua Miradi Ya Maendeleo Temeke

Jaffo Aagiza Kufufuliwa Vilivyokuwa Viwanda Vya Serikali

Rais Samia akagua gwaride maalum

Programu Ya Mazoezi Kwa Watumishi Wizara YA Mambo Ya Ndani Yazinduliwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ujenzi wa Majengo Mapya 67 Ya Halmashauri Yamekamilika-Mchengerwa
Next Article Ridhiwani Kikwete aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali,  apokea vifaa tiba na madawati kutoka NMB
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Benki Ya Dunia Kujenga Mradi Wa Njia Ya Kusafirisha Umeme Wa KV 400  Kutoka Uganda-Tanzania  
Habari July 23, 2025
Maliasili Yapongezwa Kwa Kutekeleza Maono Ya Rais Samia  
Habari July 23, 2025
Tanzania, Uturuki Zaweka Dira Mpya ya Biashara ya Dola Bil. Moja
Habari July 23, 2025
TUICO Arusha Yapongezwa Na AUWSA
Habari July 23, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?