MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Profesa Anangisye Atoa Neno Kwa Wahitimu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Profesa Anangisye Atoa Neno Kwa Wahitimu
Habari

Profesa Anangisye Atoa Neno Kwa Wahitimu

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM:  MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  (UDSM), Profesa William Anangisye amewataka wahitimu chuoni hapo kulinda tunu za taifa ambazo ni amani, umoja, uhuru, Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar.
Profesa Anangisye ametoa rai hiyo wakati wa Mahafali ya 55 Duru ya Kwanza yaliyofanyika Mlimani City, Dar es Salaam.
“Lindeni tunu ya Taifa. Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna taifa au nchi nyingine ambayo wewe na mimi tunaweza kuita nyumbani isipokuwa Tanzania.
“Hivyo popote mtakapokuwa na nitakapokuwa, tunao wajibu mkubwa wa kulinda tunu za taifa,” amesema.
Pia amewaasa wahitimu kutambua thamani ya elimu waliyoioata kwa kuwa imewaongezea thamani kwani wana nafasi ya kipekee kuwa mawakala wa mabadiliko.
Kwa upande mwingine, amewataka wananchi kushiriki uchaguzi mkuu kwa kuwa ni haki  ya kila mtanzania.
“Kwa mantiki hii, na kwa heshima kubwa niombe kila mmoja wetu, kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuoiga kura,” amesema.
Naye Mwenyekiti wa chuo hicho, Balozi Mwanaidi Maajar amesena katika kuhakikisha chuo kinabaki kuwa kinara wa elimu, utafiti na uvumbuzi katika ukanda wa bara la Afrika, baraza linaendelea kusimamia miradi mikubwa ya naendeleo.

You Might Also Like

JAB Yatoa Mwezi Moja Kuthibitishwa, kupewa vitabulisho

Watanzania Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Bidii

CMSA Yatoa Elimu ya Uwekezaji kwa Wananchi na Wakulima Nanenane

Watafiti Mataifa 10 Kujadili ElimuMsingi Nchini

Biteko Aiwakilisha Tanzania, Uapisho Wa Rais Boko, Botswana

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wanafunzi Waliokwenda China Watakiwa Kuiwakilisha Tanzania Vizuri
Next Article Waandishi wa Habari wa Afrika wapata mafunzo ya Kuandika Habari za Uhamiaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?