MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ofisi Ya Mwandishi Mkuu Wa Sheria Yakamilisha Rasimu Ya Sheria 446 Kwa Lugha Ya Kiswahili
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ofisi Ya Mwandishi Mkuu Wa Sheria Yakamilisha Rasimu Ya Sheria 446 Kwa Lugha Ya Kiswahili
Habari

Ofisi Ya Mwandishi Mkuu Wa Sheria Yakamilisha Rasimu Ya Sheria 446 Kwa Lugha Ya Kiswahili

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na Mwandishi Wetu

MWANZA: OFISI ya Mwandishi Mkuu wa Sheria tayari imemaliza kazi ya kutafsiri sheria kuu zote 446 za Tanzania kwa lugha ya Kiswahili.

Hayo yameelezwa na Mwandishi Mkuu wa Sheria nchini, Onorius Njole wakati akizungumza na Kikosi kazi cha Wataalamu nguli wa  lugha ya Kiswahili na sheria nchini waliokutanishwa na Ofisi yake kwaajili ya kuandaa Muongozo wa Ufasili wa Sheria unaofanyika jijini Mwanza.

“Tanzania tuna sheria kuu zipatazo 446, na tunatambua sote sheria hizo zote zilikuwa zimeandikwa kwa lugha ya kiingereza lakini baada ya maagizo ya Serikali ya kutaka mahakama kutumia lugha yetu Mama na sheria kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili tulifanya kazi hiyo kubwa na nzito lakini tunafurahi sasa kusema kuwa tumeikamilisha.

“Na tuna rasimu ya sheria kuu zote kwa Kiswahili hivyo kupata muongozo huu wa ufasiri utatusaidia sasa kutumia kupitia rasimu hizo ili ziwe na mfanano  pamoja na kuondoa mkanganyiko kabla ya kuanza kutumika,” amesema.

Amesema baada ya kumaliza kazi ya urekebu wa sheria toleo la mwaka 2023 na kufanya ufasili wa sheria hizo wameona itakuwa na maana kubwa kama wataweza sasa kutoa toleo la sheria hizo zote zilizorekebiwa kwa lugha ya Kiswahili kwa kufuata muongozo rasmi ifikapo mwanzoni mwa mwaka ujao wa fedha ili ziweze kuanza kutumika.

Amesema huko nyuma wamekuwa wakifanya ufasili wa sheria kawaida bila kuwa na chombo maalumu cha kuwaongoza kuhakikisha kunakuwa na mfanano lakini wanaamini baada ya kuwepo kwa  Mwongozo huo sasa kutawezesha kuandika vizuri sheria kwa Kiswahili na kufasili vyema zilizopo.

“Kwa hiyo Mwongozo huu wa ufasili wa sheria tunauhitaji sana ili hata inapotokea changamoto kutokana na tafsiri hiyo tunarudi kwenye Mwongozo kama msingi wa ufasil,

“Kuliko hivi sasa ambapo kila mtu anafanya ufasili kwa kutumia utashi na uelewa wake hali inayoweza kuleta misuguano ya kisheria isiyo ya lazima na kupotosha maana ya dhana husika,” amesema.

Hayati Rais John Magufuli wakati akihutubia Bunge alisisitiza umuhimu wa kuongeza uelewa wa sheria kwa wananchi kwa kutunga sheria kwa lugha ya Kiswahili.

Katika kutekeleza azma hiyo, Mwaka 2021 Bunge  lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Tafsiri za Sheria ambapo pamoja na mambo mengine iliweka sharti la kwamba lugha ya sheria sasa ni Kiswahili na lugha ya kutumika katika vyombo vya utoaji haki nchini nay oni Kiswahili.

 

You Might Also Like

Mkurugenzi VETA Kasore Akiteta Jambo Na Mhitimu Fani Ya Ushonaji

Jeshi la polisi kumhoji anayesambaza taarifa za uongo

Watanzania Tuendelee Kudumisha Amani-Dk Biteko

Wakulima Wa Mahindi Mvomero Walia Na Viwavijeshi Vamizi, Watafiti SUA kupitia Mradi Wa AGRISPARK Kuokoa Jahazi

Dkt. Ndumbaro : Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Imefanikiwa 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article BAKITA Lapongeza Sheria Za Tanzania Kuandikwa Kwa Lugha Ya Kiswahili
Next Article TEA Yaanza Utekelezaji Miradi Ya Amali Zanzibar
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?