MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Muhogo, viazi kuongezewa tija kwenye uzalishaji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Muhogo, viazi kuongezewa tija kwenye uzalishaji
Habari

Muhogo, viazi kuongezewa tija kwenye uzalishaji

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

TAKWIMU zinaonyesha uhitaji wa mbegu bora za viazi vitamu  kwa  Kanda ya Ziwa ni vipando milioni 23, ilhali idadi iliyotumiwa na wakulima ilikuwa ni vipando chini ya milioni tano tu.

Mkuu wa Programu ya Utafiti wa zao hilo la viazi vitamu, kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI), Kituo cha Ukirigulu Mwanza, Dkt. Hadija Ally ameelezea takwimu hizo za mwaka 2022/ 2023.

Dkt. Hadija ameeleza hayo katika ufunguzi wa mafunzo kwa watafiti wa viazi na muhogo yanayofanyika kwa siku nne Mkoani Mwanza katika Kituo cha TARI Ukiriguru.

Akielezea athari za ugonjwa wa virusi vya viazi vitamu, Dkt. Hadija amesema mkulima hawezi kupata mavuno ya aina yoyote endapo shamba lake limeathiriwa kwa asilima 100 na virusi.

Amesema ujio wa teknolojia ya kutambua na kuzalisha mbegu stahimilivu dhidi ya virusi utaleta tija katika kilimo cha viazi vitamu.

Amesema viazi vitamu ni miongoni mwa mazao ya chakula yanayotegemewa katika maeneo mengi nchini, hivyo uzalishaji utakapoongezeka utasaidia kuimarisha usalama wa chakula.

Naye Mtafiti wa mihongo kituo cha TARI Ukiriguru, Salum Kasele amesema uzalishaji wa muhongo nchini ni tani 8.6 badala ya tani 30 kwa hekta ambazo ndizo kiwango cha uzalishaji wenye tija.

Amesema wastani wa muda wa kuanza kutafiti mbegu hadi kuisajili kwa kutumia njia ya kawaida inaenda hadi miaka 10, hivyo kupitia mafunzo hayo muda wa kuzalisha mbegu hadi kumfikia mkulima unategemewa kufikia wastani wa miaka mitano.

Mafunzo hayo ni matokeo ya ushirikiano wa TARI na Taasisi nyingine, ikiwemo Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo cha kitropiki (IITA), Shirika la Kimataifa la Utafiti (CIAT) na Maabara ya uchunguzi wa virusi ya Ujerumani (DSMZ).

Ushirikiano unalenga kujengeana uwezo wa teknolojia za uzalishaji wa haraka wa mbegu za mazao ya mizizi zisizokuwa na magonjwa ili kuwafikia wakulima kwa wakati na hivyo kuchangia kuongezeka tija.

 

 

 

You Might Also Like

Elimu Ya Fedha Yafika Makanya Same

Wataalam wa “Visit Finland” Wabadilishana Uzoefu Kutangaza Utalii Duniani 

Ununuzi Wa Ndege Anga Za Kilimo Uanze Sasa-Bashe

Mwanjala Wa TRC Aelezea Umuhimu Wa VETA

Uongozi CHADEMA Kanda Ya Kati Upo Imara

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article ATCL Yaanzisha Safari Za Moja Kwa Moja, Dubai Na Zanzibar
Next Article Miradi Ufungaji Mifumo Ya Umeme Jua 20,000 Mbioni Kuanza
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?