MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Michezo Yapunguza Uhalifu Dodoma
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Michezo Yapunguza Uhalifu Dodoma
Habari

Michezo Yapunguza Uhalifu Dodoma

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: WANANCHI wa Kata ya Chang’ombe Jijini Dodoma wamepongeza mkakati wa Jeshi la Polisi kwa kuwafikia vijana kupitia  michezo inayopunguza  uhalifu, huku wananchi  wakishiriki  vikundi vya ulinzi shirikishi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi amesema hayo wkjati wakisherekea  ubingwa wa ligi ya mpira wa  miguu iliyoandaliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma chini
Umoja Polisi Jamii Cup iliyo tamatika siku za hivi karibuni .
Ameipongez timu  na wananchi wa kata hiyo kwa kuonyesha kiwango bora cha soka kati ya kata zaidi 14 zilizo shiriki katika mashindano hayo.
Vilevile Katabazi amesisitiza wananchi kuendelea kuchukia uhalifu na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili waweze  kuchukuliwa hatua za kicheria kabla uhalifu haujatendeka.
“Chang’ombe mmekuwa mfano katika Jiji la Dodoma mmefanya vizuri katika michezo na mmebadilika tufauti na hapo awali ilivyokuwa chang’ombe ikisifika kwa uhalifu,  muendelee kuchukia uhalifu na msishiriki katika uhalifu,” amesema.
Amewataka wazazi na walezi wa kata hiyo kuwasimamia watoto katika malezi na kushirikiana na Polisi Kata wa eneo hilo pindi wanapokutana na changamoto za ulinzi na usalama pamoja na kushiriki katika shughuli za maendeleo na siyo uhalifu.
Kwa upande wake mlezi wa timu ya Chang’ombe ambaye ni Polisi Kata wa kata hiyo Samweli Gwivaha ameeleza ushirikiano ulipo kati ya wananchi katika kuzuia na kutanzua uhalifu kupitia michezo.
Hata hivyo Wananchi wa kata ya Chang’ombe wamepongeza mkakati wa Jeshi la Polisi kupitia kamanda wa mkoa huo kuwakutanisha  vijana kupitia michezo na kuimarisha doria ambapo wamesema kata hiyo kwa sasa amani imeendelea kutamalaki na uhalifu kufikia ukomo.
Mashindano hayo yaliokuwa na lengo la kuwakutanisha vijana katika maeneo mbalimbali kupitia michezo na kuwapa elimu ya ulinzi pamoja kuhamasisha ushiriki wa vijana hao katika vikundi vya ulinzi shirikishi.

You Might Also Like

TARI Yabadilisha Kilimo kwa Teknolojia Mpya, Za Kisasa

Mama Janeth Magufuli Atembelea Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu Sabasaba

Waziri Mkuu Majaliwa Amwakilisha Dkt.Mpango Mahafali Ya 43 OUT

TEA Kuhakikisha Mazingira Ya Kujifunzia, Kufundishia Yanaboreshwa

SPIKA asisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Imetoa Ruzuku Ya Asilimia 20 Hadi 50 Kwenye Mitungi YA Gesi – Kapinga
Next Article Wanazuoni Kujadili   Dira  Itakayojenga  Uchumi Unaofikia   Dola Trilioni Moja
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Aituza UDSM kwa Kuongoza Eneo La Elimu, Utafiti, Ubunifu Sabasaba 2025
Habari July 14, 2025
Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 
Habari July 13, 2025
NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje
Habari July 13, 2025
Kafulila: Ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma Kuboresha Huduma
Habari July 13, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?