MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: MOI Yaokoa Bilioni 150 Matibabu Ya Kibingwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > MOI Yaokoa Bilioni 150 Matibabu Ya Kibingwa
Habari

MOI Yaokoa Bilioni 150 Matibabu Ya Kibingwa

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA:TAASISI ya Tiba ya Mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu (MOI) kwa miaka minne  ya serikali ya awamu ya sita, imefanikiwa kuokoa kiasi cha Sh. Bilioni 150 kwa ajili ya wangonjwa ambao wangetibiwa nje ya nchi.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI  Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema hayo  alipotoa taarifa kwa vyombo vya habari katika ukumbi wa Habari Maelezo Jijini Dodoma,juu ya mafanikio ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassani.
 Dkt.Ulisubisya amesema kwa kipindi cha miaka minne taasisi hiyo imeweza kutoa huduma bingwa za kimatibabu na kuweza kuokoa mabilioni ya fedha kwa wagonjwa ambao wametibiwa ndani ya nchi  badala ya kutibiwa nje ya nchi.
Amesema  huduma muhimu zinazotolewa na MOI ni pamoja na kutoa huduma ya mkono wa umeme ambapo mpaka sasa wagonjwa sita wamewekewa mkono bandia.
Vile vile kutengeneza viungo bandia kwa teknolojia ya ‘3D’ kwa wagonjwa wanne .
Pia amesema kuwa MOI imeanzisha  huduma mpya za kibingwa na kibobezi ambazo hazipatikani hapa nchini kama vile benki ya mifupa, na matibabu ya ‘Parkinsons’ pamoja na kutetemeka.
Amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne, Taasisi ya MOI imefanikiwa kutoa huduma za kibobezi kwa wagonjwa 7,366.
Amesema kuwa Gharama za matibabu hayo ndani ya nchi zilikuwa Sh. Bilioni 68 na kama wagonjwa hao  wangepelekwa nje ya nchi kwa matibabu jumla ya Sh. Bilioni 218,zingetumika.
Kutokana na hali hiyo amesema kuwa  serikali imefanikiwa  kuokoa Sh. Bilioni 150 ambazo zimetumika katika shughuli nyingine za maendeleo.
Akizungumzia mipango ya baadaye amesema Taasisi inaendelea kuboresha huduma kwa viwango vya kimataifa kwa Ujenzi wa hospitali ya kisasa ya utengamao katika kiwanja cha MOI chenye ukubwa wa hekari 10 kilichopo Mbweni Mpiji jijini Dar es salaam.
Pia kusogeza huduma katika jengo ambalo lilikua linatumika na Hospitali ya Tumaini upanga ili sehemu ya wagonjwa wa  nje waanze kupata huduma katika jengo hilo na kupunguza msongamano MOI.

You Might Also Like

NIT yawapika vijana

Zifahamu hifadhi za bahari na maeneo tengefu.

Tume ya umwagiliaji yapambana kuinua kilimo

Wanawake Taasisi za Kitafiti Watoa Furaha Kwa Waliojifungua, Madaktari, Manesi Kawe Kituo Cha Afya

Chagueni Viongozi Wanaofaa-Biteko

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Kujenga Mahusiano Na Wenye Ujuzi, Wabunifu
Next Article Ridhiwani: WCF Umeboresha Mifumo Ya Ushughulikiaji Wa Fidia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tulia Atoa Taarifa Kifo Cha Ndugai
Habari August 6, 2025
Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?