MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mkutano Maalum wa CCM Kufanyika Kesho Mtandaoni
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mkutano Maalum wa CCM Kufanyika Kesho Mtandaoni
Habari

Mkutano Maalum wa CCM Kufanyika Kesho Mtandaoni

Author
By Author
Share
1 Min Read
 Kufanya Marekebisho Madogo Ya Katiba Ya Chama
Na Danson Kaijage
DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza sababu ya kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Chama hicho utakao­fanyika kesho kwa njia ya mtandao, ambapo ajenda kuu ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya Chama.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala, amesema kuwa marekebisho hayo yanazingatia masharti ya Katiba ya CCM, Ibara ya 99(1)(a-f)(2), inayoruhusu kufanyika kwa mkutano huo iwapo kutakuwepo na ulazima wa kikatiba.
“Wanaoweza kufanya marekebisho ya Katiba ya CCM ni Mkutano Mkuu pekee. Na kwa kuwa tumeona kuna umuhimu, ndiyo maana mkutano huu unafanyika kwa ajenda moja tu marekebisho madogo ya Katiba,” amesema Makala.
Ameongeza kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakishangaa juu ya mkutano huo kufanyika kwa njia ya mtandao, lakini amesisitiza kuwa huo ni mwenendo wa dunia ya sasa inayokwenda na kasi ya teknolojia.
 “Maandalizi yamekamilika. Tuna uhakika kuwa mkutano utafanyika vizuri na kila mtu atashuhudia kupitia mtandao,” amesema.

You Might Also Like

Shule 216 Za Serikali Zatumia Nishati Safi Ya Kupikia – Kapinga

Kafulila: Ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma Kuboresha Huduma

NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje

Majaliwa  awataka waandamizi, vyombo vya usalama kutekeleza 4R

Simbachawene: Simu za mkononi zinaondoa umakini kwa watumishi wa umma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kichina Chatamba UDSM: Walimu Watanzania, Wachina Wapewa Tuzo kwa Umahiri
Next Article TASAC Yashuhudia Utiaji Saini  Mkataba Wa Uendeshaji Bandari Kavu Kwala
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CHAUMMA Kuunda Mamlaka ya Mazao ya Kimkakati – Salum Mwalim
Habari September 14, 2025
Heshima ya Udaktari Ni Mwito wa Kulitumikia Taifa: Dkt Ikomba
Habari September 14, 2025
Rais Wa CWT Suleiman Ikomba Sasa Ni Daktari
Habari September 13, 2025
Salum Mwalim: Nitarejesha Hadhi ya Kanda ya Ziwa na Kuinua Zao la Pamba
Habari September 12, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?