MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mkenda: Tunahitaji Ushirikiano Baina Ya Viwanda Na Wazalishaji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mkenda: Tunahitaji Ushirikiano Baina Ya Viwanda Na Wazalishaji
Habari

Mkenda: Tunahitaji Ushirikiano Baina Ya Viwanda Na Wazalishaji

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: ” TUNAHITAJI sana kuimarisha ushirikiano baina ya viwanda na wazalishaji,”.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema hayo leo Machi 14, 2025 wakati wa Kongamano na Wadau wa Sekta ya Nguo na Mavazi lililoandaliwa na Mamlaka ya Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA).
Kongamano hilo limeandaliwa ikiwa ni sehemu ya kuelekea Maadhimisho ya Miaka 30 ya VETA.
Amesema kwa kufanya hivyo VETA ijenge mahusiano na wazalishaji mbalimbali wakiwemo wa magari.
“Tungetaka kuona ushirikiano wa kampuni za ujenzi na VETA, ujenzi wa nyumba nzuri na hivi sasa ujenzi wa nyumba nzuri unaenda kasu sana,” amesema.
Naye Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Anthony Kasore amesema kwenye eneo la ujuzi wana jukumu la kufundisha ujuzi.
Amesema kwa kuthamini ujuzi serikali inahakikisha vyuo vya ufundi vinakuwepo vya kutosha, ndio maana vipo zaidi ya 800 nchini.
“Maana yake ni sekta ambayo watu wengi wanahitaji kupata ujuzi,” amesema.

You Might Also Like

Serikali kuleta kicheko kwa TASU 

Wanafunzi Wawili Wajiteka Ili Wapate Pesa Toka Kwa Wazazi wao

Serikali Kuendelea Kutenga Fedha Kwa ajili ya Ukamilishaji wa Maboma ya Vituo vya Afya

FCC Yawavutia Wawekezaji Kwenye Maonesho Ya IATF Nchini Algeria

Mwongozo wa Mafunzo Elekezi Kwa Walimu Wapya Kazini Mbioni Kukamilika

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article AUWSA Kutibu Maji Taka Yatumike Kwenye Kilimo
Next Article Tunatekeleza Azma YA Rais Samia Kuwafikia Wananchi Waliojiajiri
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?