MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Miradi Dodoma Yamkuna Rais Samia
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Miradi Dodoma Yamkuna Rais Samia
Habari

Miradi Dodoma Yamkuna Rais Samia

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema  Jiji la Dodoma kwa sasa litakuwa jiji la kitalii, ikiwa ni pamoja na kuongeza kipato cha mtu moja mmoja kutokana na fursa zinazoendelea.
Samia amesema hayo alipowahutubia  wananchi wa jiji la Dodoma na viunga vyake katika eneo la Nala muda mfupi baada ya kumaliza ukaguzi wa ujenzoi wa barabara ya mzunguko wa nje na uwanja wa ndege wa msalato ambao ni uwanja mkubwa na wa kisasa.
Kabla ya kuhutubia wananchi hao, Samia  na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, walifanya ukaguzi wa miradi hiyo na kuridhishwa na kuridhishwa nayo.
Hivyo Rais Samia ameziagiza Wizara  ya ujenzi na ya Uchukuzi kuhakikisha kazi za ujenzi  na ukarabati wa miundombinu  ya barabara, reli na viwanja vya ndege zinatekelezwa kwa viwango vinavyotakiwa.
Pia ameagiza kupandwa mazao mbalimbali ikiwemo zabibu ili kuendeleza asili ya maeneo hayo.
Kuhusu gharama amesema, barabara  ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma imetumika Sh. Bilioni 489.892 ambapo serikali imechangia asilimia 15 katika fedha hizo.
Kwa upande wa ujenzi wa  uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, umegharimu  Sh. Bilioni 370 hadi kukamilika kwake ukiwa na uwezo wa kubeba abiria milioni 1.5 kwa mwaka ikiwa ni  kiwango Cha kitaifa cha daraja la 4F
Samia ameridhia ombi lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega lakutaka barabara ya mzunguko wa nje ya jiji la Dodoma, kuitwa jina la Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Akinwumi Adeshina.
Kwa upande wake Waziri wa ujenzi,  Ulega amesema barabara ya mzunguko ya nje ya jiji la Dodoma aliyoikagua Rais Samia  itaepusha foleni katikati ya jiji na kurahisisha huduma mbalimbali ikiwemo kusafirisha mazao.
Naye Dkt. Adesina ameeleza bayana kwamba Dodoma sasa ni mji wa kivutio barani Afrika.
Juzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  (UDSM), kilimtunuku Dkt. Adesina Shahada ya Heshima ya Sayansi kutokana na benki hiyo kutoa mchango mkubwa kwa jamii na taifa nchini Tanzania.

You Might Also Like

Rais Samia Awasili Mwanza Kilele Cha Mbio za Mwenge

Tanzania Kujenga Kiwanda Kikubwa cha Mbolea kwa Ushirikiano na Zambia

NIT yawapika vijana

Tumeleta Utulivu na Huduma kwa Walimu’ – Ikomba

Ridhiwani Aipongeza Mahakama Kuzingatia Ajira Kwa Wenye Ulemavu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article UDSM Yamtunuku Rais AfDB Shahada Ya Heshima Ya Sayansi
Next Article Mfumo Wa KieletronikiWa Albino Kurahisisha Kuwatambua – Ridhiwani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma
Habari September 23, 2025
Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?