MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mifugo Mingi Chanzo Cha Uchafuzi Maji Ziwa Victoria
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mifugo Mingi Chanzo Cha Uchafuzi Maji Ziwa Victoria
Habari

Mifugo Mingi Chanzo Cha Uchafuzi Maji Ziwa Victoria

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Dodoma

BODI Ya Maji,Bonde La Ziwa Victoria imebainisha kuwa kuingia Kwa mifugo mingi  katika vyanzo vya Maji huchangia kwa winging kuchafuka Kwa Maji ya ziwa hilo ambalo Lina ukubwa wakilomita za mraba 154,000.
Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Dkt Renatus Shinhu amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo na kufafanua fursa mbalimbali zipatikanazo chini ya Bonde hilo.
Habari Picha 11332
Amesema mbali ya changamoto hiyo lakini pia kilimo pembezoni nacho kumekucha chanzo kikubwa cha kuchafuka Kwa Maji ya Ziwa hilo Kwa kukaa michanga na matope hivyoo akiwaomba Wananchi kutofanya hivyo.
Amesema kutokana na changamoto hiyo kuna haja ya kuendelea kuelimisha jamii Ili kufahamubathari za kuchafuka Maji hayo,lakini wao wenyewe kushiriki katika kulinda Maji hayo ambayo Yana umuhimu mkubwa kwao na jamii Kwa ujumla.
Amesema maji ya Ziwa hilo yanategemewa Kwa kiwango kikubwa na Wananchi Kwa ajili ya matumizi ya kunywa na pengine hata kumwagilia hivyo jitihada za kuyalinda na kutunza vyanzo vya Maji zinahitajika Kwa winging.
“Zaidi ya asilimian51 ya Maji ya Ziwa hutumikankwa ajili ya kunywa,pia ziwa linatumika Kwa ajili ya uzalishaji kiuchumi,umwagiliaji na hata utalii hivyo ni jukumu la Bodi na Wananchi Kwa ujumla kulitunza Ili maendeleo yaendelee kuwepo,” amesema Dkt Shinhuna kuongea kuwa Ziwa hilo linashirikisha pia nchi  tati za Afrika Mashariki  na pia linaingiliana na  Bonde La Mto Nile.
Ameongeza kuwa Kwa sasa Bodi hiyo Ina vituo 90 Kwa ajili ya kusimamia mwelekeo wa Maji Ili kujua yapo kiasi Gani na ubora lakini pia husimamia ugawaji wa Maji Kwa Wananchi Kwa kutoa vibali.
Amesema pia Bodi imetoa vibali zaidi ya 1000 vya matumizi ya Maji Kwa jamii na kwamba wanagawa Maji kuzingatia matumizi ya binadamu lakini pia wakijalo mazingira.

You Might Also Like

Watakiwa kuzingatia sheria wanapohudumia walimu

Matumizi Mabaya Ya Dawa Husababisha Usugu Wa Vimelea Kwa Wanyama – Dkt. Kitimu

CCM yavunja rekodi – Makala

Mwanafunzi UDSM Aja Na Nyama Ya Mimea

Dkt. Biteko ashiriki kilele cha miaka 60 JWTZ

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article FCC Yatatua Kero 63  Za Walaji
Next Article Mkunda: Wanawake Wapewe Nafasi Katika Uongozi wa Vyama vya Wafanyakazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TASFAM Yawawezesha Wanawake wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kuadhimisha Siku ya Mwanamke
Habari March 9, 2026
Nyamhokya Atoa Wito kwa Wanawake Kusimama Imara Kiuchumi
Habari March 7, 2026
Balozi Seokolo Atoa Wito Kuimarisha Biashara na Viwanda Kanda ya SADC
Habari March 7, 2026
Mkunda: Wanawake Wapewe Nafasi Katika Uongozi wa Vyama vya Wafanyakazi
Habari March 7, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?