MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Matumizi Ya Baiteknolojia Nchini ni Madogo – Profesa Yanda
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Matumizi Ya Baiteknolojia Nchini ni Madogo – Profesa Yanda
Habari

Matumizi Ya Baiteknolojia Nchini ni Madogo – Profesa Yanda

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: MATUMIZI za Baiteknolojia nchini bado ni madogo ikilinganishwa na nchi zinazoendelea.
Baiteknolojia ni teknolojia za kisasa zinazojumuisha teknolojia ya uhandisi jeni (GMO), uzalishaji kwa njia ya chupa  (tissue culture) na nyinginezo.
Profesa Pius Yanda kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), amesema hayo wakati akiwasilisha mada kuhusu mchango wa Sayans, Teknolojia na Ubunifu katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Mada hiyo ameiwasilisha katika kongamano la tisa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu pamoja na maonesho linalomalizika leo jijini Dar es Salaam.
Ametaja sababu zinazochangia matumizi ya baiteknolojia kuwa madogo ni kutokuwa na teknolojia ya kutosha inayoweza kutumika ili itumike kwa uangalifu.
” Kitu kizuri tulichonacho Tuna misitu mingi, Tuna maliasili nyingi ambazo tunaweza kusema ni malighafi tunatakiwa kutumia kwenye hiyo baiteknolojia.
” Na baiteknolojia inatumika katika maeneo mengi ikiwemo afya, kilimo na mengineyo,” amesena.
Ameongeza kuwa kuna kila sababu ya kuhakikisha kunakuwa na ubunifu wa ziada kuhakikisha inawezekana kutumia teknolojia hiyo ya baiteknoloji kwa kiasi kikubwa zaidi.
Yanda ambaye amebobea kwenye masuala ya usimamizi maliasili, mazingira na mabadiliko ya tabia nchi amesema teknolojia ya uhandisi jeni sasa hivi inaonekaba kuwa na mchango mkubwa katika uchumi pia katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Ameelezea fursa zinazotoa nafasi nzuri ya kuweza kushiriki kikamilifu katika kutumia hiyo baiteknolojia kwa ajili ya maendeleo ya leo, kesho na uchumi kwa ujumla.
Ffursa hizo ni pamoja na ushirikiano wa kimataifa na nchi mbalimbali ikiwemo nchi zilizoendelea hasa katika utafiti.
” Hayo nimaeneo ambayo tukiyafanyia kazi vizuri na wenzetu tutaenda kupata teknolojia bora zaidi.
“Changamoto kubwa tuliyonayo tunakabiliana na mabadiliko ya tabianchi, tunaathirika zaidi kuliko mabara mengine. Hivyo suala la kutumia bayoteknolojia kutengeneza.
” Hiyo ni teknolojia ambayo tunahitaji kujikita zaidi kama nchi ili tuweze kunufaika na hiyo teknolojia,” amesema.

You Might Also Like

OUT yaunda Kamati ya Ufuatiliaji na Tathmini Mradi wa HEET

Jeshi la Uhifadhi watakiwa kuzingatia mafunzo – Wakulyamba

Kamati Ya Bunge Ustawi Na Maendeleo Ya Jamii Yaridhishwa Wananchi Wanavyofikiwa

Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama

Rais Samia kufanya ziara mkoani Morogoro, kuzindua safari za SGR

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mbunifu Alilia Uwepo Wa Miongozo Kwa Wagunduzi
Next Article Tanzania Ipo Tayari Kwa Mazungumzo Ya Urejeshwaji Malikale
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?