MATUKIO mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam Oktoba 21, 2025.








