MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Marekebisho ya sheria huangalia mazingira ya sasa na yajayo – Tume
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Marekebisho ya sheria huangalia mazingira ya sasa na yajayo – Tume
Habari

Marekebisho ya sheria huangalia mazingira ya sasa na yajayo – Tume

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

TUME ya Kurekebisha Sheria Tanzania imekuwa ikipokea maoni kutoka kwa wananchi kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wake ama uboreshaji wa sheria.

Katibu Mtendaji wa Tume hiyo George Mandepo amesema hayo kwenye Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yanayoendelea jijini Dodoma.

Amesema, ” Kazi ya Tume ni kufanya mapitio ya sheria zote zilizopo Tanzania na kupendekeza marekebisho serikalini katika maeneo ambayo tunabaini kuna upungufu au kuna mgongano au ukizani wa sheria,”.

Amesema katika kufanya hivyo huhusisha wadau wa sekta husika na wengine wanaoathirika na ile sheria ambayo inatungwq au kufanyiwa marekebisho.

” Katika kufanya kazi tume inaweza ikapendekeza marekebisho, ikapendekeza kufutwa kwa sheria lakini ikapendekeza labda kuboreshwa mifumo yetu ya usimamizi wa sheria ambazo zipo ndani ya serikali yetu,” amesema.

Amesisitiza kuwa tume inapofanya mapitio au marekebisho ya sheria inafanya utafiti wa kupitia sheria zilizopo kwa kuangalia mazingira ya sasa, mazingira yaliyosababisha kutungwa kwa sheria husika na mazingira yajayo.

“Kwa sababu sheria lazima iishi kama mwanadam inaongea, sheria ina matendo yote ambayo yanapeleka kuonekana sheria inatumika.

“Kwa hiyo tunaangalia pia uzoefu wa ndani ya nchi na wa nchi nyingine , lakini pia tunaangalia athari ambayo sheria husika inaweza ikaleta kiuchumi, kijamii na pia kisiasa,” amesema.

Amesema kama tume wanayaangalia hayo pamoja na kuwahususha wadau.

You Might Also Like

Samia Mgeni Rasmi Siku Ya Mashujaa

Nchimbi Agongelea Nyundo Kwa Wagombea Watoa Rushwa

Ushirikiano Wanataalum, Wanatasnia Kisekta Ni Muhimu Katika Maendeleo Kiuchumi

Mjadala na Kampuni za Nishati Kimataifa Kuendelezwa

Gridi Ya Taifa Ni Dhaifu Kwa Mikoa Ya Kaskazini-Mramba

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TSB, Wizara ya kilimo yaweka mpango wa vituo vya usindikaji mkonge
Next Article TPHPA yafundisha namna sahihi ya utumiaji wa viuatilifu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tulia Atoa Taarifa Kifo Cha Ndugai
Habari August 6, 2025
Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?