MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Madaktari Bingwa, Wauguzi Wabobevu Wa Mama Samia Watoa Mafunzo Ya Huduma Kwa Mama Na Mtoto, Hospitali Ya Wilaya Ya Singida
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Madaktari Bingwa, Wauguzi Wabobevu Wa Mama Samia Watoa Mafunzo Ya Huduma Kwa Mama Na Mtoto, Hospitali Ya Wilaya Ya Singida
Habari

Madaktari Bingwa, Wauguzi Wabobevu Wa Mama Samia Watoa Mafunzo Ya Huduma Kwa Mama Na Mtoto, Hospitali Ya Wilaya Ya Singida

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na Lucy Ngowi

SINGIDA: HALMASHAURI ya Wilaya ya Singida imepokea Madaktari Bingwa watatu na Wauguzi Wabobezi wawili kwa ajili ya kuwajengea uwezo zaidi madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Wilaya kwenye eneo la kina mama na watoto.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya hiyo ya Singida Dkt. Dorisila John amesema hayo baada ya madaktari hao na wauguzi kuhitimisha mafunzo yao katika Hospitali hiyo ya Wilaya ya Singida.

Kwa ujio wa madaktari bingwa hao na wauguzi wa Mpango wa Mama Samia, Dkt.Dorisila ameishukuru serikali kwa kazi kubwa inayoifanya katika sekta ya afya nchini.

“Ugeni huu umefika Machi 17 mwaka huu 2025, umekuwepo kwa siku tatu hadi Machi 19. Tumeshukuru kwa sababu wataalamu hawa wametoa elimu nzuri, ujuzi na maarifa na watumishi wetu wamefurahi,” amesema.

Ameishukuru serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na maono hayo kwa kupeleka Madaktari Bingwa na Wauguzi Wabobevu katika maeneo yenye uhitaji wa utaalam zaidi.

Kwa upande wake Daktari Bingwa wa magonjwa ya kina mama na uzazi kutoka Mkoani Mwanza Wilaya ya Nyamagana amesema wamekuwepo Singida kwa ajili ya kutoa mafunzo ili kupunguza vifo vya kina mama na watoto katika wilaya zote mkoani Singida.

“Tupo 20 tumegawanyika wengine wamekwenda katika wilaya nyingine, na sisi tupo watano hapa katika Hospitali ya Wilaya ya Singida,” amesema.

Amesema miongoni mwao wapo madaktari bingwa watatu waliobobea kwenye magonjwa ya kina mama, magonjwa ya watoto na wa usingizi na ganzi salama.

Pia timu yao ina wauguzi wawili mmoja akiwa muuguzi mkunga na mwingine wa chumba cha upasuaji.

” Lengo la kuwepo ni kwa ajili ya kuwajengea uwezo watoe huduma bora, hususan eneo la mama na mtoto, ili kupunguza vifo vya mama, wajawazito na watoto wachanga,” amesema.

Amesema timu yao imewafikia watumishi 46 na kila mmoja amepata mafunzo tofauti.

Amesema ni imani kwamba waliyofundishwa wayayafanyia kazi.

Wanamshukuru Rais Samia kwa jitihada anazofanya katika sekta ya afya, kwajinsi alivyoona anaweza kupunguza vifo hivyo.

Watumishi wa afya walioshiriki wameeleza shukrani zao kwa madaktari hao kwa ujuzi waliopata na wameahidi kutumia maarifa hayo kuboresha utoaji huduma na kuongeza weledi katika kazi zao za kila siku.

Mpango huu ni moja ya juhudi za serikali za kuimarisha huduma za afya nchini na kuhakikisha mama na mtoto wanapata huduma bora na salama.

You Might Also Like

Silinde: Serikali bega kwa bega na wadau wa kilimo

Mfumo Uendeshaji Mashauri Kidigitali Kwa Watumishi wa Umma Uharakishwe

Baraza Kuu TUGHE Lasisitiza Haki, Wajibu Kuleta Tija Sehemu Za Kazi

CMA yawataka wafanyakazi walioachishwa kazi kuwasilisha mgogoro ndani ya muda

Wenye Ulemavu Wa Ngozi Wakumbukwa Kupitia FDH, Wapewa Msaada Wa Milioni 20

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article MSD Yaokoa Zaidi Ya Mil. 15
Next Article Kinywaji Cha China Chavuka Mipaka Chatua Tanzania
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?