MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: LATRA CCC Yatoa Angalizo Uhitaji Mkubwa Wa Wasafiri Mwisho Wa Mwaka
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > LATRA CCC Yatoa Angalizo Uhitaji Mkubwa Wa Wasafiri Mwisho Wa Mwaka
Habari

LATRA CCC Yatoa Angalizo Uhitaji Mkubwa Wa Wasafiri Mwisho Wa Mwaka

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC), limetoa rai kwa  Jeshi la Polisi Usalama Barabarani na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kutilia mkazo ufuatiliaji wa usalama wa vyombo vya usafiri kuelekea mwisho wa mwaka.
Aidha ufuatiliaji wa sheria za usalama barabarani kwa madereva wawapo safarini.
Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Daud Daudi ametoa rai hiyo alipozungumza na Waandishi wa Habari akielezea usafiri wa ardhini kuelekea. Wisho wa mwaka 2024.
Daudi amezitaka mamlaka hizo pia kufanya uhakiki endelevu wa vigezo vya vyombo ikiwemo bima na kuhakiki huduma itolewayo kama inalingana na madaraja. Yaliyochaguliwa na abiria.
“Kuhakikisha hakuna muda ambao unajulikana kama ‘wasimamia sheria hawapo’ hasa nyakati za usiku ili kuhakikisha usalama wajati wote kwa abiria wawapo safarini,” amesema.
Vile vile amewataka madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepusha madhara yatokanayo na ajali zinazoepukika.
Ikiwa ni pamoja na kuhakikisha vyombo vya usalama vyenye hitilafu havitumiki kutoa huduma za usafiri kwa kuhakikisha ukaguzi unafanyika kwa weledi.
Kwa upande wa abiria amewataka kutoa ushirikiano kwa watoa huduma ili kuwawezesha kupatiwa huduma zenye viwango vizuri.
Amesisitiza kuwa mapumziko ya mwisho wa mwaka kwa miaka mingi yamekuwa yakiambatana na uhitaji mkubwa wa wasafiri kuelekea sehemu mbalimbali za nchi.

You Might Also Like

Waziri Mkuu Majaliwa Azungumzia Urushaji Wa Satelite Tanzania

Malecela Aibuka Kidume Dodoma Mjini, Mavunde Ang’aa Mtumba

Serikali kushirikiana na Wadau usimamizi Taka za Plastiki

Waziri Mkuu Mstaafu Pinda Atoa Neno Kwa Vijana, Maadhimisho Miaka 30 VETA

Samia Azindua Shule ya Msingi ya Mchepuko wa Kiingereza Songea

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Utiaji Saini Mkataba Wa Ujenzi Jengo La TUGHE Wafanyika
Next Article Bajeti ya TUGHE 2025 Yaidhinishwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Habari August 6, 2025
VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?