MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Idadi Ya Wagonjwa Wa Magonjwa Yasiyoambukiza Kuongezeka
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Idadi Ya Wagonjwa Wa Magonjwa Yasiyoambukiza Kuongezeka
Habari

Idadi Ya Wagonjwa Wa Magonjwa Yasiyoambukiza Kuongezeka

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu

INAKADIRIWA  kuwa zaidi ya asilimia 34 ya vifo nchini Tanzania vinatokana na magonjwa yasiyoambukiza.

Magonjwa hayo ni yasiyo na vimelea vinavyoweza kusambazwa kama tatizo la moyo na mishipa ya damu, saratani, magonjwa sugu ya njia ya hewa, kisukari,magonjwa ya akili,sikoseli na mengineyo.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikalini Roida Andusamile wiki ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) huadhimishwa wiki ya pili ya Oktoba kila mwaka.

Amesema kwa mwaka 2025 maadhimisho haya yanaadhimishwa kuanzia  leo Oktoba 10 hadi 15 kwa lengo la kuongeza uelewa wa umma kuhusu madhara ya magonjwa yasiyoambukiza,umuhimu wa kuchukua hatua za Pamoja katika kuyazuia na kuyadhibiti.

Habari Picha 10217

Kauli mbiu ya mwaka 2025 ni chukua hatua dhibiti magonjwa yasiyoambukiza ambayo inasisitiza wajibu wa kila mmoja  katika kuchukua hatua za kulinda afya yake na kusaidia jamii kuwa na Maisha yenye ustawi.

Roida amesema magonjwa yasiyoambukiza ni Pamoja na saratani, kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, afya ya akili, figo, selimundu na baadhi ya magonjwa ya njia ya hewa.

Amesema takwimu za kidunia na za hapa nchini zinaonesha idadi ya wagonjwa kuongezeka,inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 34 ya vifo nchini Tanzania vinatokana na magonjwa hayo.

 

“Kwa kuwa dalili  za magonjwa hayo huchelewa kutambulika na yanaweza kuzuilika, wizara ya afya inawahimiza wananchi kufanya uchunguzi mara k wa mara ili kugundua magonjwa mapema na kuanza matibabu, kuzingatia mtindo bora wa Maisha kwa kula mlo sahihi yenye virutubisho, kufanya mazoezi angalau daika 30 kila siku, kuacha matumizi ya tumbaku na pombe na matibabu ya mapema ili kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza,” amesema.

 

You Might Also Like

WCF Yaleta Utulivu Mahala Pa Kazi – Katambi

China yatoa elimu ya ujenzi kwa wanafunzi Baobab

Samia Mgeni Rasmi Siku Ya Mashujaa

Mchumi Ajitosa Kuwania Ubunge Manyoni

Miradi ya Maendeleo Isimamiwe kwa Uadilifu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kutofuata sheria chanzo kikuu cha migogoro ya kazi – CMA
Next Article Wabunge Sita Wateuliwa Na Rais
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?