MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: HATUNA HURUMA NA WADANGANYIFU KWENYE MITIHANI – WAZIRI MKENDA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > HATUNA HURUMA NA WADANGANYIFU KWENYE MITIHANI – WAZIRI MKENDA
Habari

HATUNA HURUMA NA WADANGANYIFU KWENYE MITIHANI – WAZIRI MKENDA

Shani
By Shani
Share
2 Min Read

 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema katika Chuo Kikuu ukikamatwa umedanganya kwenye mtihani adhabu yake ni kufukuzwa chuo moja kwa moja, na yeye kama Waziri mwenye dhamana hatoingilia mamlaka za Vyuo Vikuu zinapochukua hatua hizo kulinda mitihani.

Kauli hiyo ameitoa leo Julai 12, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu tuhuma zinazorushwa kwenye mitandao na baadhi ya vyombo vya Habari kwamba kuna udanganyifu kwenye Vyuo Vikuu hasa kwenye masuala ya mitihani.

‘’Kila tunaposikia tuhuma tunachukulia kama jambo zito sana, kulikuwa na dalili kama hizo katika mitihani ya darasa la saba, kidato cha Nne na Sita, na tulichukua hatua kali, ambazo kwa bahati mbaya zinaumiza hata maslahi ya baadhi ya wawekeza katika sekta ya elimu’’ Alisema Mkenda.

Ameongeza kuwa suala la udanganyifu katika mitihani lina madhara makubwa kwani linaondoa usawa, na kwamba Serikali inataka Wanafunzi wanapofanya mitihani wote wapimwe kwa usawa na haki, isitokee mmoja anafanya mtihani kwa udanganyifu na kufaulu wakati mwingine ana tumia juhudi zake.

‘’Tukiruhusu udanganyifu wowote katika elimu, ngazi yoyote ya elimu, tunakuwa tunalea na kufundisha rushwa kwa Wanafunzi wetu, tutaendelea kusimamia uadilifu katika mitihani”. Alisema Mkenda.

Amewahakikishia Watanzania wote kwamba Vyuo yetu vinazingatia sana maadili hasa katika masuala ya mitihani na weledi kuhakikisha tunatoa degree kwa mujibu wa taratibu zinazokubalika katika taaluma yetu nchini.

 

You Might Also Like

Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais Samia Suluhu Hassan, kuongoza Kamati Kuu Maalum kesho

Serikali Kupeleka Umeme Maeneo Ya Kimkakati

Serikali yatambua deni la Kiwira Coal Mine Bill.1.52

VETA Yatembelea Kiwanda Cha Kutengeneza Nyumba Bila Kutumia Tofali

WDC Kuboresha Miradi Yake Ya Majengo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu
Next Article Pata habari za magezeti ya leo tarehe 13 Julai 2024, Raisi Samia aanza ziara Katavi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
PURA Yajipanga Gesi Asilia Itumike Kwenye Magari
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?