MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Halmashauri Zahimizwa Kujenga Viwanda Vya Michezo.
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Halmashauri Zahimizwa Kujenga Viwanda Vya Michezo.
Habari

Halmashauri Zahimizwa Kujenga Viwanda Vya Michezo.

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI  wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Dkt. Damas Ndumbaro amesema wizara hiyo kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ipo katika mkakati wa kuhakikisha kila halmashauri inakua na kituo cha michezo kitakachojumuisha michezo yote.
Amesema   mkakati huo utakapokamilika utaletwa katika bajeti ya mwakani na utaanza kutekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo sekta binafsi.
 Dkt Ndumbaro ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma leo Septemba 6, 2024 wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalum,  Stella Simon Fiyao aliyetaka kujua lini Serikali itajenga uwanja wa michezo wilayani Ileje.
 Dkt. Ndumbaro ameongeza kuwa Serikali inaendelea na ukarabati wa viwanja vya Uhuru na Benjamin Mkapa  pia ujenzi uwanja wa Arusha wa mpira wa miguu (Arusha Stadium) na kukarabati viwanja vingine vitano  vya mazoezi kwa ajili ya mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027.
Aidha, ameishauri Halmashauri na Wilaya ileje kutenga fungu katika bajeti yake ili kutekeleza mradi ya ujenzi wa uwanja wa michezo kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo akiongeza kuwa Wizara ipo tayari kuwapatia wataalam wa miundombinu ya michezo wa kuwashauri  kabla na wakati wa utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo.
Katika hatua nyingine amezipongeza Halmashauri za Wilaya ya Kinondoni (Uwanja wa KMC Stadium), Bukoba Mjini (Uwanja wa Kaitaba), Nyamagana (Uwanja wa Nyamagana), Halmashauri ya Mji-Babati (Tanzanite Stadium) na Namungo (Majaliwa Stadium) kwa kuonesha mfano bora na wa umiliki na uendeshaji wa viwanja vya michezo vya kisasa.

You Might Also Like

Wanafunzi Kutoka Veta Kushiriki Mafunzo Japan

BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha

TMA yawafikia taasisi za utafiti wa kilimo

Kampuni ya Kichina CCCC yatoa msaada wa vitabu UDSM

Bajeti ya TUGHE 2025 Yaidhinishwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mongela Ajiridhisha Ushindi wa Kishindo , Uchaguzi Serikali za Mitaa,Uchaguzi Mkuu CCM
Next Article Waziri Mkuu Majaliwa aitaka uchukuzi lusimamia kwa karibu TRC
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
REA Yapamba Maonesho Ya Kitaifa Ya Teknolojia Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?