MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Elimu Ya Dawa Za Kulevya Kutolewa Kwa Wanafunzi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Elimu Ya Dawa Za Kulevya Kutolewa Kwa Wanafunzi
Habari

Elimu Ya Dawa Za Kulevya Kutolewa Kwa Wanafunzi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
MAMLAKA ya Dawa Za Kulevya Nchini   (DCEA) imesema Iko kwenyeboperesheninmaalum kuhakikisha wanatoka elimu maalum kwa nchi mzima kwa wanafunzi wa shule za msingi,  sekondari na vyuo Ili kujua aina ya Dawa za Kulevya na kwamba wakikamatwa na dawa hizo Sheria inasema nini.
Kamisha Wa Mamlaka hiyo Areta Lyimo  amesema hayo katika Banda la Mamlaka hiyo lililoko katika  maonesho ya 49 ya Biashara ya kimaraifa maarufu kama sabasaba yanayoendelea Dar es Salaam.
Amesema pamoja na elimu hiyo kwa makundi hayo lakini pia wanafanya operesheni maalum ya kukamata wale wote ambao bado wanaendelea kujihusisha na biashara ya usambazaji na uzalishajibwa dawa hizo lengo likiwa ni kuhakikisha KWAMBA ndani ya kipindi kifupi wanamaliza kabisa tatizo la dawa za Kulevya zinazoingia nchini.
Amesema Kwa Kufanya hivyo itasaidia wale wanafanya biashara hizo kuacha na wale ambao hawajaingia wasiingie na wale ambao tayari kufahanu vituo vya huduma kwa kuwa serikali inatola huduma bure kwa wale walioatgirika,lengo likiwa ni wananchi wote kurudi kwenye mfumo wakiwa na afya njema Ili kuungana kwa pamoja kujenga Uchumi wa nchi.
Kuhusu Hali ya Dawa za Kulevya Nchini amesema Hali inaendelea kuimarika kutokana na operesheni mbalimbali ambazo zimefanywa.
“Hadi sasa kuna baadhinya dawa kama heroine,methanoine na cocaine zimeadimika na kupungua sana nchini na hata kwenye vijiwe na maeneo mbalimbali hakuna waraibu na Wateja wanaokuwa kwenye vituo vya mabasi wakininginia,..Hali ni tofauti,” amesema na kuongeza kuwa hiyo ni kutokana na serikali kuwachukua waraibu kuwa peleka kwenye vituo vya Tiba wakiendelea Kupata huduma bure.

You Might Also Like

Spika Mussa Zungu Atoa Hotuba Baada Ya Kuchaguliwa

SADC, Marekani Kuanzisha Jukwaa La Majadiliano

Dkt Yonaz Awaasa Watumishi Ofisi Ya Waziri Mkuu  Kuongeza Bidii Katika Kutekeleza Majukumu Yao

Askofu Chilongani Aitaka Jamii Kutumia Ijumaa Kuu Kusameheana na Kujenga Umoja

WMA Yajivunia Kuongezeka Kwa Wafanyakzai

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Posta Yaleta   Usafiri Wa Kitalii Ndani Ya Sabasaba
Next Article TSB Yatangaza Fursa Za Kilimo, Uwekezaji Wa Mkonge
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari August 23, 2026
Bunifu ya dawa ya mayai yapunguza hasara kwa wafugaji wa kuku
Makala August 22, 2026
Dkt Yonaz Awakumbusha Vijana Kulinda Afya Zao Katika Mapambano Dhidi Ya Ukimwi
Habari August 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?