MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Dkt. Bwana: Tunafanya utafiti wa mbegu kutatua changamoto za wakulima
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Dkt. Bwana: Tunafanya utafiti wa mbegu kutatua changamoto za wakulima
Habari

Dkt. Bwana: Tunafanya utafiti wa mbegu kutatua changamoto za wakulima

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

DODOMA: TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), inatafiti aina mbalimbali za mbegu zinazokabiliana na wadudu, magonjwa pamoja na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo ukame, kwa lengo la kuongeza tija katika kilimo.
Mkurugenzi Mkuu wa TARI, Dkt. Thomas Bwana amesema hayo katika kilele cha maadhimisho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi jijini Dodoma alipozungumza na waandishi wa habari.
Dkt. Bwana amesema taasisi hiyo inafanya utafiti huo wa mbegu ili kutatua changamoto zinazowakabili wakulima zinazotokana na magonjwa, wadudu na hali ya hewa.
“Sasa hapa tunakuja kuonyesha aina mbalimbali za teknolojia ambazo tumeziandaa TARI kwa ajili ya kutatua changamoto mbali mbali za wakulima, ikiwa ni pamoja na changamoto za rutuba ya udongo,
“Pia changamoto za wadudu waharibifu, lakini changamoto za magonjwa.
“Tuna aina mbalimbali za mbegu bora za migomba, mbegu za jamii ya mikunde lakini tuna mbegu za mpunga, mahindi na korosho,” amesema.
Dkt Bwana amesema taasisi hiyo imekua ikitafiti mbegu bora ambazo zinakinzana na magonjwa, zenye mazao mengi zaidi ili kuongeza tija kwa wakulima.
“Lakini pia kuna teknolojia nyingine kama ile ya kitalu mkeka hiyo inasaidia kupambana na mabadiliko ya tabia nchi,” amesema.
Bwana amesema teknolojia ya kitalu mkeka inawezesha mkulima kupanda mpunga kwa muda mfupi.
“Teknolojia hii ya kitalu mkeka mkulima anaweza kuandaa mbegu hata nyumbani, inasaidia kukimbizana na mvua ambazo zinakua zinabadilika basilica,” amesema.

You Might Also Like

Posta Yaleta   Usafiri Wa Kitalii Ndani Ya Sabasaba

Ridhiwani, Ulega Washiriki Maulid Ya Kumswalia Mtume Muhammad

SUA Chatumia Ngamia Mafunzo Ya Vitendo Kwa Wanafunzi

Afrika ijadili changamoto sekta ya utalii – UN

Aprili 2025 Matokeo Awamu Ya Kwanza, Maoni Dira Ya Taifa Na Maendeleo 2050 Kutolewa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Maofisa Tarafa na Watendaji wa Kata Waaswa kuwa wabunifu
Next Article Dkt. Komba: Mfumo wa kidijitali utaleta tija kwa mkulima
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?