MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: COSOTA Yapokea Migogoro 136 Ndani Ya Miaka Minne
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > COSOTA Yapokea Migogoro 136 Ndani Ya Miaka Minne
Habari

COSOTA Yapokea Migogoro 136 Ndani Ya Miaka Minne

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: OFISI ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA)imesema  kwa  kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita imefanikiwa kupokea  migogoro 13, kusuluhisha 118 ambapo 10 kati ya hiyo haikumalizika.
Migogoro hiyo ambayo haikumalizika  ilifunguliwa kesi mahakamani, mingine nane inaendelea kushughulikiwa.
Hayo yameelezwa Jijini Dodoma na Ofisa Mtendaji Mkuu na msimamizi wa hakimiliki, Doreen Sinare alipozungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO kuhusu mafanikio ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema kupolelewa kwa mogogoro hiyo kumatokana na uelewa wa wasanii na wadau mbalimbali kutambua umuhimu haki miliki zao jambo ambalo halikuweza kujitokeza kwa miaka ya nyuma.
Amesema kwa miaka minne sasa wasanii wote pamoja wadau mbalimbali waliopo chini ya Cosota wameweza kutambua haki zao, umuhimu na faida ya chombo hicho.
Akiendelea kutaja mafanikio mbalimbali ya kuwepo kwa COSOTA kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa sasa, amesema ni pamoja na muziki wa singeri kutambuliwa ndani na nje ya Tanzania.
Amesema kutambuliwa kwa muziki huo, kwa sasa umekiwa ukitumiwa na watu mbalimbali ikiwapo kuhamasisha shughuli za kimaendeleo tofauti na ilivyokuwa
 miaka ya nyuma.
Vile vile amesema  kupitia Kanuni ya Tozo ya Hakimiliki mapato hayo yalianza kukusanywa.
Ameeleza kuwa kupitia chanzo hicho COSOTA imekusanya Sh. Bilioni 1.4
kuanzia Septemba, 2023 hadi Februari, 2025 ambapo Ofisi imefanikiwa kupokea fedha za tozo ya hakimiliki za mwaka wa fedha 2023/2024 kutoka Wizara ya Fedha kiasi cha Sh. Milioni 847.

You Might Also Like

Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee

Uwepo mwongozo kupima wagonjwa zaidi

Thamani ya Fedha Ionekane Kwenye Utekelezaji wa Miradi-Nyamoga

Hatuwezi Kukwepa Matumizi Ya Bioteknolojia – Dkt.Nguvila

Wananchi Wahimizwe Ulipaji Kodi Kimtandao – Nyongo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Biteko Agongea Msumari Elimu Ya Ufundi Stadi
Next Article Nzega Kujenga Barabara za Lami, Soko la Kisasa ili Kukuza Uchumi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waendelezaji Majengo 103 Kesi Ziko Mahakamani, -AQRNa
Habari July 6, 2025
TSB Yatangaza Fursa Za Kilimo, Uwekezaji Wa Mkonge
Habari July 6, 2025
Elimu Ya Dawa Za Kulevya Kutolewa Kwa Wanafunzi
Habari July 6, 2025
Posta Yaleta   Usafiri Wa Kitalii Ndani Ya Sabasaba
Habari July 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?