Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 7, 2026
Habari Lucy Ngowi 6

Ajali Yakatisha Maisha Ya Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji TANESCO, Dereva Wake 

Na Lucy Ngowi

AJALI ya gari iliyotokea Wilaya ya Bunda Mkoani Mara, imekatisha maisha ya Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania  (TANESCO), Gissima Nyamo – Hanga, na dereva wake Muhajiri Mohamed Haule.
Ajali hiyo imetokea leo Aprili 13, 2025.

Kurugenzi ya Mawasiliano na Huduma kwa Wateja TANESCO, imetoa taarifa hiyo na kusema, taarifa zaidi zitatolewa.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.